Hizo ni hisia zako tu. Utawala wa kidikteta haufuati katiba wala sheria.kwa hiyo unataka kulazimisha hapa Tanzania kuna udikteta?
Haikuwa katiba kama hii ya JMT ambayo inazuia ubaguzi na udikteta.Narudia tena, ww huwezi kuona maana ni mfaidika wa huu ukandamizaji. Hata weupe walifuata katiba yao.
Haikuwa katiba kama hii ya JMT ambayo inazuia ubaguzi na udikteta.
Na nufaika na huu utawala? Sio kweli ni kusema ukweli tu.
Spika anaweza akafunguliwa mashitaka kwa jambo hilo na lipo wazi kabisa ndiyo maana wameweka kinga ya kutoshitakiwa Spika na Naibu wake kwa kuwa amevunja sheria sana katika uongozi wake.Swali kwa wenye ufahamu.
Hivi hao wabunge, waliojiuzuru na kuvuliwa uanachama badala yake wakiendelea kusalia bungeni kwa msaada wa spika
, Siku mazingira yakiruhusu hawezi kufunguliwa mashtaka ya kuvunja katiba?
Tarehe 16/06 Mhe. Rais anavunja Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama hakutakuwa na mabadiliko. Kisheria baada ya kuvunja Bunge hatutakuwa na mawaziri Kwa kuwa kikatiba Waziri lazima awe mbunge. Katika kipindi hicho Wizara zitaendelea kusimamiwa na makatibu wakuu mpk hapo uchaguzi mkuu utakapomalizika na uteuzi mpya kufanywa na Rais aliyechaguliwa.
Tunawakumbusha mawaziri wetu kutunza rasilimali za umma na waache kuendelea kuzunguka nazo mitaaani na maiimboni mwao kutafutia Kura. Najua nchi hii hatuna utamaduni wa kutii Sheria, sitashangaa kuona mawaziri waliomaliza muda wao wakiendelea na ziara kama kawaida na kutoa maagizo Kwa watendaji au hata kuwasimamisha kazi.
Hatutaacha kuwakumbusha maana ipo siku atakuja asiyejulikana, msije mkasema mlikuwa hamjui. Spika wetu yeye kajitoa ufahamu anaendelea kuchapa kazi na wabunge waliofukuzwa ktk vyama vyao na inawezekana wakalipwa kodi zetu wakatwange maisha mitaani.
Yaani katiba ipo hari kwenye app, unashindwa kudownload ili usome, badala yake unakuja kumwaga upumbavu hapa jukwaani. Mleta mada, hebu nenda kasome katiba kwanza ndiyo urejelee bandiko lako, ujishuhudie mwenyewe ulivyo kiazi.