johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kwa mfano Spika wa Bunge kwa mujibu wa katiba ya CCM ni mjumbe wa kamati kuu ya chama na anaripoti kwa mwenyekiti.
Katibu wa Bunge ni mteule wa Rais ambaye ndiye mwenyekiti wa CCM.
Mnadhimu wa bunge ni waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu anayeteuliwa na Rais ambaye ndiye mwenyekiti wa CCM.
Katika utaratibu huu utaona wazi hakuna namna Spika wa bunge anaweza kuwa huru bila kujali mwenyekiti wa chama ni nani.
Je, bunge linaongozwa na mwenyekiti wa CCM?
Maendeleo hayana vyama!