johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
- #41
Kwa mujibu wa katiba ya CCM!Ila pia anaweza kupewa maagizo tena hadharan na mwenyekit wake wa chama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mujibu wa katiba ya CCM!Ila pia anaweza kupewa maagizo tena hadharan na mwenyekit wake wa chama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mfano Spika wa Bunge kwa mujibu wa katiba ya CCM ni mjumbe wa kamati kuu ya chama na anaripoti kwa mwenyekiti.
Katibu wa Bunge ni mteule wa Rais ambaye ndiye mwenyekiti wa CCM.
Mnadhimu wa bunge ni waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu anayeteuliwa na Rais ambaye ndiye mwenyekiti wa CCM.
Katika utaratibu huu utaona wazi hakuna namna Spika wa bunge anaweza kuwa huru bila kujali mwenyekiti wa chama ni nani.
Je, bunge linaongozwa na mwenyekiti wa CCM?
Maendeleo hayana vyama!
Mbele ya chama Spika ni mtu wa kupokea maagizo ( kutumwa) tu!..Spika angekuwa hajachaguliwa kutoka miongoni mwa wabunge huenda kungekuwa na afadhali.
..Pia usisahau jaribio la Dr.Tulia Ackson ambaye ni mbunge wa kuteuliwa na Raisi kugombea Uspika.
..Lakini la mwisho ni busara za Spika mwenyewe. Mambo mengine ya kuaibisha na kufedhehesha yanayotokea yangeweza kuepukika kama mhusika angekuwa na kiwango fulani cha busara.
Kwa mujibu wa katiba ya CCM!
Mbele ya chama Spika ni mtu wa kupokea maagizo ( kutumwa) tu!
Ndugai ana madeal ya kifisadi ndio maana anamuogopa sana magufuliKwa mfano Spika wa Bunge kwa mujibu wa katiba ya CCM ni mjumbe wa kamati kuu ya chama na anaripoti kwa mwenyekiti.
Katibu wa Bunge ni mteule wa Rais ambaye ndiye mwenyekiti wa CCM.
Mnadhimu wa bunge ni waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu anayeteuliwa na Rais ambaye ndiye mwenyekiti wa CCM.
Katika utaratibu huu utaona wazi hakuna namna Spika wa bunge anaweza kuwa huru bila kujali mwenyekiti wa chama ni nani.
Je, bunge linaongozwa na mwenyekiti wa CCM?
Maendeleo hayana vyama!
Lakini kumpata huyo Spika wa mtaani ni jambo gumu pia!..Spika angekuwa ametokea " mtaani " na siyo bungeni angeweza kuwa huru zaidi.
Jibu lipo hapa.Kwa mfano Spika wa Bunge kwa mujibu wa katiba ya CCM ni mjumbe wa kamati kuu ya chama na anaripoti kwa mwenyekiti.
Katibu wa Bunge ni mteule wa Rais ambaye ndiye mwenyekiti wa CCM.
Mnadhimu wa bunge ni waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu anayeteuliwa na Rais ambaye ndiye mwenyekiti wa CCM.
Katika utaratibu huu utaona wazi hakuna namna Spika wa bunge anaweza kuwa huru bila kujali mwenyekiti wa chama ni nani.
Je, bunge linaongozwa na mwenyekiti wa CCM?
Maendeleo hayana vyama!
Chama kinachoongoza nchi ni CCM, kina wabunge wengi, wabunge ni kama wajakazi wa CCM, wamepewa ridhaa ya kuwa wabunge na CCM, wewe ulitakaje? Ndio maana ya kushinda uchaguzi, kupata mamlaka ya kufanya unayotaka. Hiyo haihitaji shule kufahamuKwa mfano Spika wa Bunge kwa mujibu wa katiba ya CCM ni mjumbe wa kamati kuu ya chama na anaripoti kwa mwenyekiti.
Katibu wa Bunge ni mteule wa Rais ambaye ndiye mwenyekiti wa CCM.
Mnadhimu wa bunge ni waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu anayeteuliwa na Rais ambaye ndiye mwenyekiti wa CCM.
Katika utaratibu huu utaona wazi hakuna namna Spika wa bunge anaweza kuwa huru bila kujali mwenyekiti wa chama ni nani.
Je, bunge linaongozwa na mwenyekiti wa CCM?
Maendeleo hayana vyama!
Umedandia treni bwashee!Chama kinachoongoza nchi ni CCM, kina wabunge wengi, wabunge ni kama wajakazi wa CCM, wamepewa ridhaa ya kuwa wabunge na CCM, wewe ulitakaje? Ndio maana ya kushinda uchaguzi, kupata mamlaka ya kufanya unayotaka. Hiyo haihitaji shule kufahamu
Lakini juzi aliagizwa asiwalipe posho wabunge wa chadema, huu uhuru unaosemea ni upi?Bunge ni mhimili unaojitegemea kabisa na shughuli zake zinaendeshwa kwa kanuni za bunge. Kwa hiyo hata kama spika ni mwana Ccm linapokuja suala la shuguli za bunge anazingatia kanuni za bunge kuliendesha.
Uhuru katika kufanya shughuli za bunge kama kutunge sheria n.k. Lakini executive kama mhimili uliojichimbia ambao ndio unawalipa hao wabunge upo sawa kuzuia wasilipwe.Lakini juzi aliagizwa asiwalipe posho wabunge wa chadema, huu uhuru unaosemea ni upi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini hii awamu ndiyo imevunja rekodi.......Awamu zote mwenyekiti wa CCM ni boss wa spika!
Mhimili wa Executive hauwalipi wabunge......U
Uhuru katika kufanya shughuli za bunge kama kutunge sheria n.k. Lakini executive kama mhimili uliojichimbia ambao ndio unawalipa hao wabunge upo sawa kuzuia wasilipwe.
Hiyo consolidated fund inasimamiwa na mhimili gani?Mhimili wa Executive hauwalipi wabunge......
Bali wanalipwa na Hazina ya nchi, kutokana na pesa za walipa kodi, ambapo walipa kodi hao wamo CCM na Chadema
Bunge ni mhimili unaojitegemea kabisa na shughuli zake zinaendeshwa kwa kanuni za bunge. Kwa hiyo hata kama spika ni mwana Ccm linapokuja suala la shuguli za bunge anazingatia kanuni za bunge kuliendesha.
Kakojoe ulale, watoto wenzio wamesha lala saa hizi.Ndugai yupo huru
Mbowe amevunja sheria ashtakiwe
Kwa mfano Spika wa Bunge kwa mujibu wa katiba ya CCM ni mjumbe wa kamati kuu ya chama na anaripoti kwa mwenyekiti.
Katibu wa Bunge ni mteule wa Rais ambaye ndiye mwenyekiti wa CCM.
Mnadhimu wa bunge ni waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu anayeteuliwa na Rais ambaye ndiye mwenyekiti wa CCM.
Katika utaratibu huu utaona wazi hakuna namna Spika wa bunge anaweza kuwa huru bila kujali mwenyekiti wa chama ni nani.
Je, bunge linaongozwa na mwenyekiti wa CCM?
Maendeleo hayana vyama!
Kuna dalili huku mitaani moja kati ya CCM B,C,D na E amechukiwa na Ccm A na huenda safari hii wakamuweka benchi.Chadema wakilielewa hili hawatapata shida.
CCM ni chama kikubwa!