Mh maswali ya mahakanani sasa hayo🏃♂️🏃♂️🏃♂️Nyerere alikuwa na akili sana!
Wewe unaamini Tanzania kuna vyama vya upinzani?
Its aidha hujui sheria au unajitoa tu akili? Kavunja sheria gani? Wewe una akili timamu kweli wewe? Au ni sawa na lile tako kubwa na ulimi mzito pale ilalaNdugai yupo huru
Mbowe amevunja sheria ashtakiwe
Hilo swali hujibiwa na wahenga tu!Mh maswali ya mahakanani sasa hayo🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Kwa hiyo ndio unapigia mstari jibu wote ni Ccm B,C,D n.k?Hilo swali hujibiwa na wahenga tu!
Awamu zote mwenyekiti wa CCM ni boss wa spika!Unauliza jibu?
Kila mwananchi hivi sasa chini ya utawala huu wa awamu ya 5 ya Jiwe anajua pasipo shaka kuwa yeye, aliyewahi kusema "I wish I could be IGP" ndiye anayeuongoza pia huo mhimili wa Bunge!
Huyo Ndugai, amekishikilia kiti hicho kama "bortion" tu!!
Ndio maana yake bwashee!Kwa hiyo ndio unapigia mstari jibu wote ni Ccm B,C,D n.k?
Hii ni mojawapo ya mapungufu ya katiba tuliyonayo. This dictates the need for a new constitution.Kwa mfano Spika wa Bunge kwa mujibu wa katiba ya CCM ni mjumbe wa kamati kuu ya chama na anaripoti kwa mwenyekiti.
Katibu wa Bunge ni mteule wa Rais ambaye ndiye mwenyekiti wa CCM.
Mnadhimu wa bunge ni waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu anayeteuliwa na Rais ambaye ndiye mwenyekiti wa CCM.
Katika utaratibu huu utaona wazi hakuna namna Spika wa bunge anaweza kuwa huru bila kujali mwenyekiti wa chama ni nani.
Je, bunge linaongozwa na mwenyekiti wa CCM?
Maendeleo hayana vyama!
Kuna watu humu walideki mabarabara mwaka 2015 utasababisha wanywe sumu.Ndio maana yake bwashee!
CCM ni chama dola kuna ubaya wowote bunge likiwa kitengo cha chama!Hii ni mojawapo ya mapungufu ya katiba tuliyonayo. This dictates the need for a new constitution.
Hahahaaaa........ Chadema level yao mwisho ubunge ndio maana walimkodi Lowassa wa CCM A na Babu Duni wa CCM C!Kuna watu humu walideki mabarabara mwaka 2015 utasababisha wanywe sumu.
Nakuita mara tatu,johnthebaptist, johnthebaptist , johnthebaptist.Kwa mfano Spika wa Bunge kwa mujibu wa katiba ya CCM ni mjumbe wa kamati kuu ya chama na anaripoti kwa mwenyekiti.
Katibu wa Bunge ni mteule wa Rais ambaye ndiye mwenyekiti wa CCM.
Mnadhimu wa bunge ni waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu anayeteuliwa na Rais ambaye ndiye mwenyekiti wa CCM.
Katika utaratibu huu utaona wazi hakuna namna Spika wa bunge anaweza kuwa huru bila kujali mwenyekiti wa chama ni nani.
Je, bunge linaongozwa na mwenyekiti wa CCM?
Maendeleo hayana vyama!
Kama spika ni mwana ccm atafuata matakwa ya ccm,Bunge ni mhimili unaojitegemea kabisa na shughuli zake zinaendeshwa kwa kanuni za bunge. Kwa hiyo hata kama spika ni mwana Ccm linapokuja suala la shuguli za bunge anazingatia kanuni za bunge kuliendesha.
Bunge ni mhimili unaojitegemea kabisa na shughuli zake zinaendeshwa kwa kanuni za bunge. Kwa hiyo hata kama spika ni mwana Ccm linapokuja suala la shuguli za bunge anazingatia kanuni za bunge kuliendesha.
Chadema wakilielewa hili hawatapata shida.johnthebaptist
naona umeimaliza CHADEMA sasa mnageukiana wenyewe
Katiba ya Mh. Warioba ndiyo ilikuwa inaleta majibu ya haya yote.!!Bwashee mihimili ni Serikali, Mahakama na CCM!
Tanzania hakuna wapinzani bwashee!Katiba ya Mh. Warioba ndiyo ilikuwa inaleta majibu ya haya yote.!!
Wanasiasa wa upinzani wanafanya siasa katika mazingira magumu mno...