johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Hivi nyie kenge mnajua Chadema ikiifa hamtapewa posho za kuongea ujinga humu wala za kujipendekeza kwa jiwe maana mtaanza kushindana wenyew.Ndugai yupo huru
Mbowe amevunja sheria ashtakiwe
Bunge ni mhimili unaojitegemea kabisa na shughuli zake zinaendeshwa kwa kanuni za bunge. Kwa hiyo hata kama spika ni mwana Ccm linapokuja suala la shuguli za bunge anazingatia kanuni za bunge kuliendesha.Kwa mfano Spika wa Bunge kwa mujibu wa katiba ya CCM ni mjumbe wa kamati kuu ya chama na anaripoti kwa mwenyekiti.
Katibu wa Bunge ni mteule wa Rais ambaye ndiye mwenyekiti wa CCM.
Mnadhimu wa bunge ni waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu anayeteuliwa na Rais ambaye ndiye mwenyekiti wa CCM.
Katika utaratibu huu utaona wazi hakuna namna Spika wa bunge anaweza kuwa huru bila kujali mwenyekiti wa chama ni nani.
Je, bunge linaongozwa na mwenyekiti wa CCM?
Maendeleo hayana vyama!
Kamsaidie Ndugai, kampatie nondo. Twasubiri mrejesho.Ndugai yupo huru
Mbowe amevunja sheria ashtakiwe
Bwashee mihimili ni Serikali, Mahakama na CCM!Bunge ni mhimili unaojitegemea kabisa na shughuli zake zinaendeshwa kwa kanuni za bunge. Kwa hiyo hata kama spika ni mwana Ccm linapokuja suala la shuguli za bunge anazingatia kanuni za bunge kuliendesha.
Ndugai ana mtindio wa ubongo!Ndugai yupo huru
Mbowe amevunja sheria ashtakiwe
Bwashee hapo Uganda bunge liko huru!Bunge haliwezi kuwa huru sehemu yoyote, ni mali ya raisi, hata lile la Marekani haliko huru ndio maana Trump impeachment haikupita.
Umeanza kama TmainiElKwa mfano Spika wa Bunge kwa mujibu wa katiba ya CCM ni mjumbe wa kamati kuu ya chama na anaripoti kwa mwenyekiti.
Katibu wa Bunge ni mteule wa Rais ambaye ndiye mwenyekiti wa CCM.
Mnadhimu wa bunge ni waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu anayeteuliwa na Rais ambaye ndiye mwenyekiti wa CCM.
Katika utaratibu huu utaona wazi hakuna namna Spika wa bunge anaweza kuwa huru bila kujali mwenyekiti wa chama ni nani.
Je, bunge linaongozwa na mwenyekiti wa CCM?
Maendeleo hayana vyama!
Check if your brain is still there..😅Bwashee hapo Uganda bunge liko huru!
Hizo hisia tu.Bwashee mihimili ni Serikali, Mahakama na CCM!
Hahahaaaa...... Hahahaaaa...... Maendeleo hayana vyama bwashee!Check if your brain is still there..😅
Nyerere alikuwa na akili sana!Hizo hisia tu.
Mhimili inajulikana na ukiuka maadili inakushughulikia.Hizo hisia tu.