Je, bunge linaongozwa na Mwenyekiti wa CCM?

Chama tawala ndio kinaongoza Bunge,halikwepeki.Wabunge wanatoka kwenye vyama vya kisiasa.Lakini pale Raisi anamteua mbunge,sijui kama ni lazima awe mwanachama wa chama cha kisiasa.
 
johnthebaptist
Unauliza jibu kweli??

Kila mwananchi hivi sasa chini ya utawala huu wa awamu ya 5 wa Jiwe anajua pasipo shaka kuwa yeye, aliyewahi kusema "I wish I could be IGP" ndiye anayeuongoza pia huo mhimili wa Bunge!

Huyo Ndugai, amekishikilia kiti hicho kama "bortion" tu!!

Refer kauli yake aliyoitoa Chato siku chache zilizopita, kuwa "nimemuagiza Spika awakate posho, wale wabunge wa Chadema walioondoka Bungeni" mwisho wa kunukuu

Baada ya siku chache, kweli Spika Ndugai, anatekeleza yale yale aliyoyasema Magu!!
 
Awamu zote mwenyekiti wa CCM ni boss wa spika!
 
Hii ni mojawapo ya mapungufu ya katiba tuliyonayo. This dictates the need for a new constitution.
 
Nakuita mara tatu,johnthebaptist, johnthebaptist , johnthebaptist.

Zaburi 1: 1 - 3
1: Heri mtu yule ambaye haendi
katika shauri la watu waovu,
Wala hafuati njia ya wenye dhambi
au kukaa katika baraza la wenye
mizaha.
2: Lakini huifurahia sheria ya BWANA,
nayo huitafakari mchana na usiku.
3: Mtu huyo ni kama mti uliopandwa kando ya
vijito vya maji,
ambao huzaa matunda yake kwa majira na
majani yake hayanyauki.
Kila afanyalo hufanikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katiba ya Mh. Warioba ndiyo ilikuwa inaleta majibu ya haya yote.!!

Wanasiasa wa upinzani wanafanya siasa katika mazingira magumu mno...
Tanzania hakuna wapinzani bwashee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…