Je, bunge linaongozwa na Mwenyekiti wa CCM?

..Spika angekuwa hajachaguliwa kutoka miongoni mwa wabunge huenda kungekuwa na afadhali.

..Pia usisahau jaribio la Dr.Tulia Ackson ambaye ni mbunge wa kuteuliwa na Raisi kugombea Uspika.

..Lakini la mwisho ni busara za Spika mwenyewe. Mambo mengine ya kuaibisha na kufedhehesha yanayotokea yangeweza kuepukika kama mhusika angekuwa na kiwango fulani cha busara.
 
Mbele ya chama Spika ni mtu wa kupokea maagizo ( kutumwa) tu!
 
Ndugai ana madeal ya kifisadi ndio maana anamuogopa sana magufuli
 
Jibu lipo hapa.
 
Chama kinachoongoza nchi ni CCM, kina wabunge wengi, wabunge ni kama wajakazi wa CCM, wamepewa ridhaa ya kuwa wabunge na CCM, wewe ulitakaje? Ndio maana ya kushinda uchaguzi, kupata mamlaka ya kufanya unayotaka. Hiyo haihitaji shule kufahamu
 
Umedandia treni bwashee!
 
Bunge ni mhimili unaojitegemea kabisa na shughuli zake zinaendeshwa kwa kanuni za bunge. Kwa hiyo hata kama spika ni mwana Ccm linapokuja suala la shuguli za bunge anazingatia kanuni za bunge kuliendesha.
Lakini juzi aliagizwa asiwalipe posho wabunge wa chadema, huu uhuru unaosemea ni upi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
U

Uhuru katika kufanya shughuli za bunge kama kutunge sheria n.k. Lakini executive kama mhimili uliojichimbia ambao ndio unawalipa hao wabunge upo sawa kuzuia wasilipwe.
Mhimili wa Executive hauwalipi wabunge......

Bali wanalipwa na Hazina ya nchi, kutokana na pesa za walipa kodi, ambapo walipa kodi hao wamo CCM na Chadema
 
Mhimili wa Executive hauwalipi wabunge......

Bali wanalipwa na Hazina ya nchi, kutokana na pesa za walipa kodi, ambapo walipa kodi hao wamo CCM na Chadema
Hiyo consolidated fund inasimamiwa na mhimili gani?
 
Bunge ni mhimili unaojitegemea kabisa na shughuli zake zinaendeshwa kwa kanuni za bunge. Kwa hiyo hata kama spika ni mwana Ccm linapokuja suala la shuguli za bunge anazingatia kanuni za bunge kuliendesha.

Upo nchi gani? Kama ni TZ tafakari x2. Yote uliyoyasema ni nadharia. Ukiwa na spika dhaifu kama Ndugai huna Bunge bali kikao cha chama tawala.
 
Ndiyo, iwapo spika ni dhaifu na mweyekiti wa chama ni mbabe asiye na hekima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…