Je, Captain Tesha, Habil na Kabil ilikuwa project ya Night walk ya Wana usalama?


Captain Tesha ni mjeda kweli, ila naweza kusema kwamba yeye na Polepole ni project ya Wakatoliki kujaribu kumng'oa Kizimkazi.
 

Tesha yupo wapi sasa hivi?

Ukristo Tanzania Una madhehebu Mengi.
Ni Madhehebu gani yalihusika kwenye hiyo project ya Tesha kama ulivyotujuza?
 
Tesha yupo wapi sasa hivi?

Ukristo Tanzania Una madhehebu Mengi.
Ni Madhehebu gani yalihusika kwenye hiyo project ya Tesha kama ulivyotujuza?
Unafahamu Ukristo una madhehebu mengi ila haufahamu uanaharakati uko wa aina nyingi?! Hujui kuna wanaharakati wa haki za binadamu, siasa, mazingira, wanyama, wanawake, wa watoto n.k na sio lazima kuwa mwanaharakati wa kila kitu!
 
Wayback hatukuwahi kusikia habari za mashoga, sasa hawa mashoga ambao wapo kila kona ni kina nani? ni GEN Z

😁😁
Sheria ya ushoga Tanganyika ilitungwa na wakoloni ikarithiwa na TANU na CCM hata kabla wewe hujazaliwa. Pia kesi za ulawiti ambao ni ubakaji wa ushoga ziko nchini miaka yote. Neno usenge/ msenge/ kufira yako Tanzania pia kabla hujazaliwa.
 
Sheria ya ushoga Tanganyika ilitungwa na wakoloni ikarithiwa na TANU na CCM hata kabla wewe hujazaliwa. Pia kesi za ulawiti ambao ni ubakaji wa ushoga ziko nchini miaka yote. Neno usenge/ msenge/ kufira yako Tanzania pia kabla hujazaliwa.
Unaeleweka.
 
Obviously, Kepten Tesha ilikuwa ni project ya waliomteka Polepole. Angalia zile picha za chumba ambacho Polepole alikuwa anatumia kuongelea, then linganisha na ile meza na background ya Kepteni Tesha. Zina ufanano. Pili kumbuka script aliyokuwa anaisoma Tesha, halafu linganisha na maudhui ya Polepole aliyokuwa anaongea. Ni mwandiko wa Polepole.

Kepteni Tesha aliongea tarehe 4/10 na Polepole alinyakuliwa tarehe 6/10, na hatujamsikia Kepteni Tesha tena. Watekaji walimtengenezea mtego Polepole kupitia Kepteni Tesha kama panya anavyotegwa kwa mfupa wa samaki, kisha Polepole akaingia mazima.

Chezea vyote usicheze na TISS wakikudhamiria wanakupata
 
Ilikua ni project ya AZAKI kuwaaminisha na kuwahadaa wafuata mkumbo kwamba jeshi liko upande wao na hivyo wajitokeze kwa wingi zaidi katika kufanya vurugu, kuharibu mali na kusababisha maafa kama ambavyo ilitokea 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…