Je, Captain Tesha, Habil na Kabil ilikuwa project ya Night walk ya Wana usalama?

Je, Captain Tesha, Habil na Kabil ilikuwa project ya Night walk ya Wana usalama?

Hamjambo!

Bado nipo njia panda, Namkumbuka Captain Tesha, utulivu wake, Maneno yake, na body language yake, kisha baadaye tukuo la saabil& Kabil ilikuwa Project ya Night Walk?

Kwenu Wataalam

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Habili nilimkataa toka kitambo sana, kwa namna alivyokuwa anazungumza nikaona hii wali chenga
 
Kwenye ukweli lazima tuseme labda kama ujafatilia ugomvi wao huko IG
Mimi nasupport wanaharakati wote wa kweli wanaounganisha watu kuwatoa Ccm madarakani
Ugomvi siyo lazima uwe wa kimaslahi mkuu. Unaweza kua wa kiitikadi au chanzo kikawa kutofautiana mtazamo kuhusu namna ya kufikia lengo.
 
Mbona jeshi halikukanusha kuwa sio mwanajeshi? Na wala hakukamatwa mbona si angewekwa public kama "tapeli"!! Mnapenda sana kudogosha mambo ila kama una akili timamu utajua hata MO29 kulikua na mkono wa askari wenye mafunzo kabisa. Sasa endeleeni kupuuza mkidhani ndio mna solve mgawanyiko
Jeshi unadhani ni kijiwe cha kahawa.
Yaani issue serious kama ile ulitaka waonyeshe nini wamefanya?
Unakumbuka press ya msemaji wa jeshi ilitumia dk ngapi?
Nyie Matahira wa kiwango vya juu mpaka mnaanoni yule sungusungu kuwa ni captain.
Pumbavu kabisa, vijana wenye udumavu wa akili.
 
Wengine hao siwezi kutia neno maana sijawafuatilia vizuri.
Kabla na baada ya October 29 nilizungumzia issue ya captain Tesha. Iko hivi:
Captain Tesha ni project ya Wakristo hasa Ufufuo na Uzima.
Yule ni polisi jamii, a.k.a sungusungu wakamshonea nembo ya jwtz na kuweka kwenye kofia ya mtumba.
Mkuu kwa Tesha namjuwa fresh sana,kuliko unavyo sema ni mgambo.Tesha ni Actually active JWTZ in short usingeo jamb ambalo ulijuw na ufahamu.
 
Back
Top Bottom