Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
Na waliwaokota wajinga wajinga.Lukamba alikua anatumia mwanya huo kupromote nyimbo zake, kuimba kwenyewe hajui
Bado akachangisha hadi michango
Na waliwaokota wajinga wajinga.Lukamba alikua anatumia mwanya huo kupromote nyimbo zake, kuimba kwenyewe hajui
Bado akachangisha hadi michango
Achana ha hao wehuWana Usalama hawafanyi project za kutania kufanya mapinduzi. Wanaweza kufanya spinining kama "mzee wa loliondo", au "popobawa", au "kumshika mtu bega nyeti zikapotea" lakini siyo project ya kumwambia na kumshawishi CDF achukue nchi!
Sitaki kuelewa. Wewe niambie kwanini ugali wenu hamkumwaga mkamwaga wakeUnaelewa nini kuhusu umwagaji wa ugali wa Maria Sarungi ?
JidanganyeBinafsi nahisi kama umewa overate sana TISS kwa hili andiko lako kutokana na ukweli kwamba huwa wanakuwa reactive kwenye matukio ya usalama wa nchi badala ya kuwa proactive mkuu Mtibeli
Hahahaha Kuna madogo Fulani hv walikua wa moto sana na hizo story ,siku moja nikawagusia kitu kama hiki Cha mleta MADA, na nikawaaambia Mama Rais ,hizi mbanga nyie bado sana, ..mpk Leo hawaniaminiHabil nae kumbe msanii! Mimi niliacha kumfatilia aliposema Mama yenu anakunywa maji ya kutoka abroad.
Kwani kiu kinasubiri?
Binafsi nahisi kama umewa overate sana TISS kwa hili andiko lako kutokana na ukweli kwamba huwa wanakuwa reactive kwenye matukio ya usalama wa nchi badala ya kuwa proactive mkuu Mtibeli
Kinembe chako.Wengine hao siwezi kutia neno maana sijawafuatilia vizuri.
Kabla na baada ya October 29 nilizungumzia issue ya captain Tesha. Iko hivi:
Captain Tesha ni project ya Wakristo hasa Ufufuo na Uzima.
Yule ni polisi jamii, a.k.a sungusungu wakamshonea nembo ya jwtz na kuweka kwenye kofia ya mtumba. Mashati ya jeshi mtumbani yako mengi, na nchi za watu yanauzwa kwa wazi tu hata Raia anauziwa.
Kijana akapewa risala asome huku akirekodiwa.
Main purpose ilikuwa jeshi lipewe mshtuko lione nchi haiko salama wampoke Samia nchi.
Then baadaye utaratibu mpya ukitangazwa ndani ya chama kumteua mgombea Gwajima apenye.
surely 100% ya machafuko ya October 29 kanisa la Tanzania ndilo liliratibu
Captain Tesha ni mjeda kweli, ila naweza kusema kwamba yeye na Polepole ni project ya Wakatoliki kujaribu kumng'oa Kizimkazi.
Sijawahi kusikia wamefanikiwa kabla ya madhara kutokea, nielimishe tafadhali😀😀
Kwamba TISS hawawezi mishe kama hizo?
Naona kama Tesha aliwekwa maksudi kuangalia ataungwa mkono vipi jeshini na kuwatambua wasaliti.Kuna mambo huyajui kimedani hasa yanayohusu operation na projects za Wanausalama.
Night Walk ni mbinu ya kimedani kupata taarifa, kutingisha mzinga wa nyuki ukiwa gizani kwa kuwasha moto, kisha nyuki wenye ukosefu wa uvumilivu watatoka., Kujua adui aliye ndani ya mfumo.
Ndio maana almost waliojitokeza walikuwa New Characters na wengine ni unknown person.
Hiyo ndio inaitwa Night Walk, kuwa invisible kukamilisha operation
Keptein Tesha aliongelea meza ile ile aliyokuwa anaongelea Polepole siku ya tarehe 4/10. Na script iliandikwa na Polepole. Keptein Tesha ndiye aliyemkamatisha Polepole tarehe 6/10 maana, wajeda kwanza walizima umeme kwenye transformer ya jirani kisha wakaruka ukuta.Captain Tesha ni mwanajeshi halisi , baada ya tukio lile la kufanya press kama ulikuwa makini kupitia yale matamko ya TPDF utagundua ni mwanajeshi kweli.
Swali tu linabaki kwetu sote ile press alifanyia akiwa wapi[ japo mimi nilikua nasikia ving'ora na magari ] pia motive yake hasa ilikua ipi na alikua na akina nani [japo alishasema CDF apindue na kuchukua nchi]
Ni maajabu tume ya Chande na Machsnde wenzie wakaogopa kumtaja maana Tesha baada ya ile press ilileta hamasa kubwa kwa waandamanaji.
Naona kama Tesha aliwekwa maksudi kuangalia ataungwa mkono vipi jeshini na kuwatambua wasaliti.
Keptein Tesha aliongelea meza ile ile aliyokuwa anaongelea Polepole siku ya tarehe 4/10. Na script iliandikwa na Polepole. Keptein Tesha ndiye aliyemkamatisha Polepole tarehe 6/10 maana, wajeda kwanza walizima umeme kwenye transformer ya jirani kisha wakaruka ukuta.
Ndiyo hivyo mkuu believe me. Hata Msemaji wa TPDF uliona alichosema baada ya huyo Tesha?Mmmh
Acha uongo wewe unafikiri kila kitu ni propaganda hebu nenda kaangalie zile press alipokua anaongelea Polepole na pale alipokuwepo Tesha ni vitu viwili tofauti usifanye watu wote ni watoto hawajui kutofautisha.Keptein Tesha aliongelea meza ile ile aliyokuwa anaongelea Polepole siku ya tarehe 4/10. Na script iliandikwa na Polepole. Keptein Tesha ndiye aliyemkamatisha Polepole tarehe 6/10 maana, wajeda kwanza walizima umeme kwenye transformer ya jirani kisha wakaruka ukuta.