Je, Captain Tesha, Habil na Kabil ilikuwa project ya Night walk ya Wana usalama?

Acha uongo wewe unafikiri kila kitu ni propaganda hebu nenda kaangalie zile press alipokua anaongelea Polepole na pale alipokuwepo Tesha ni vitu viwili tofauti usifanye watu wote ni watoto hawajui kutofautisha.

Press ya Tesha kuna muda kwenye background kulikuwepo na kelele za magari na ving'ora sijawahi kusikia hata siku moja press ya Polepole sauti hata ya watu kuongea au magari.
Lazima ubishe tu kwa kuwa ni kipaji chako.
 
Wengine hao siwezi kutia neno maana sijawafuatilia vizuri.
Kabla na baada ya October 29 nilizungumzia issue ya captain Tesha. Iko hivi:
Captain Tesha ni project ya Wakristo hasa Ufufuo na Uzima.
Yule ni polisi jamii, a.k.a sungusungu wakamshonea nembo ya jwtz na kuweka kwenye kofia ya mtumba. Mashati ya jeshi mtumbani yako mengi, na nchi za watu yanauzwa kwa wazi tu hata Raia anauziwa.
Kijana akapewa risala asome huku akirekodiwa.
Main purpose ilikuwa jeshi lipewe mshtuko lione nchi haiko salama wampoke Samia nchi.
Then baadaye utaratibu mpya ukitangazwa ndani ya chama kumteua mgombea Gwajima apenye.
surely 100% ya machafuko ya October 29 kanisa la Tanzania ndilo liliratibu
Jina lako lina Ally kama moja ya jina .
Watakudaka na chuki kama sio uchonganishi mwitu.
 
Kuna mambo huyajui kimedani hasa yanayohusu operation na projects za Wanausalama.

Night Walk ni mbinu ya kimedani kupata taarifa, kutingisha mzinga wa nyuki ukiwa gizani kwa kuwasha moto, kisha nyuki wenye ukosefu wa uvumilivu watatoka., Kujua adui aliye ndani ya mfumo.

Ndio maana almost waliojitokeza walikuwa New Characters na wengine ni unknown person.

Hiyo ndio inaitwa Night Walk, kuwa invisible kukamilisha operation
Una overestimate sana uwezo wa TISS, watu hawakuandamana sababu ya PTSD ya M029 na kwakuwa hayakua organised mfano na chadema, mange etc so yalikua yana hang tu mitandaoni ila mtaani hakukuwa na mobilizers serious maana wengi bado walikua magerezani kwa kesi za uhaini, uchochezi n.k

Mfano Habili au Tesha wali divert nini hasa wakati walikua wanachochea sio tu hasira za wananchi bali hata kutaka jeshi lichukue nchi sasa hapo unasemaje ni project ya TISS?
 
Wengine hao siwezi kutia neno maana sijawafuatilia vizuri.
Kabla na baada ya October 29 nilizungumzia issue ya captain Tesha. Iko hivi:
Captain Tesha ni project ya Wakristo hasa Ufufuo na Uzima.
Yule ni polisi jamii, a.k.a sungusungu wakamshonea nembo ya jwtz na kuweka kwenye kofia ya mtumba. Mashati ya jeshi mtumbani yako mengi, na nchi za watu yanauzwa kwa wazi tu hata Raia anauziwa.
Kijana akapewa risala asome huku akirekodiwa.
Main purpose ilikuwa jeshi lipewe mshtuko lione nchi haiko salama wampoke Samia nchi.
Then baadaye utaratibu mpya ukitangazwa ndani ya chama kumteua mgombea Gwajima apenye.
surely 100% ya machafuko ya October 29 kanisa la Tanzania ndilo liliratibu
Mbona jeshi halikukanusha kuwa sio mwanajeshi? Na wala hakukamatwa mbona si angewekwa public kama "tapeli"!! Mnapenda sana kudogosha mambo ila kama una akili timamu utajua hata MO29 kulikua na mkono wa askari wenye mafunzo kabisa. Sasa endeleeni kupuuza mkidhani ndio mna solve mgawanyiko
 
Fikra za waandamanaji zilikuwa kuu mbili
1. Waliokuwa wakiamini maandamano ya Amani kwa kuimba tuu yatamtoa Samia madarakani. Hawa Walikuwa Wengi Sana. Zaidi ya Robo tatu.

2. Kundi la pili hawa ni walioamini maandamano ya vurugu, kuharibu na ikiwesekana kuwa na silaha ndio yatamtoa Samia madarakani.
Hawa hawakuwa wengi Sana ni kama Robo hivi.

Sasa Khabil na Kabil wao walikuwa wakichochea hilo kundi la pili. Hali iliyopelekea kundi la Kwanza na watu wengine kuingiwa na hofu.

Njia ambayo ingetumika.
Maandamano yangetangazwa ya Amani huku Nia ya vurugu zikiachwa Siku ya tulip.

Unajua hata MO29 wengi walitoka wakijua itakuwa demonstrations tuu.
Lakini ndani Yao kulikuwa na wenye hasira Kali na wasioamini Serikali itadondoka kaa matembezi na nyimbo.

Ninakuhakikishia hata MO29 watu wangejua kuna zile vurugu idadi ingepungua maradufu.
 
Mbona jeshi halikukanusha kuwa sio mwanajeshi? Na wala hakukamatwa mbona si angewekwa public kama "tapeli"!! Mnapenda sana kudogosha mambo ila kama una akili timamu utajua hata MO29 kulikua na mkono wa askari wenye mafunzo kabisa. Sasa endeleeni kupuuza mkidhani ndio mna solve mgawanyiko

Nakubaliana na wewe kwa kiasi Fulani kwenye mkono wa Askari wenye mafunzo katika MO29. Hilo sikupingi.
 
Na huyo ni mmojawapo wa aliyewatapeli wenzake😂
Walioko nje ya Tz walojifanya wanaharakati kumbe ni matapeli tu.
Kumbe na wewe ni mpumbavu namna hii? Akili mgando kama hizi ndizo zinafanya Samia azidi kununua magari yakifahari huku wananchi wanakufa kwa kukosa huduma za kujifungua. Bongo watu wana chuki za kijinga sana na wewe ni mmoja wao.
 
Wengine hao siwezi kutia neno maana sijawafuatilia vizuri.
Kabla na baada ya October 29 nilizungumzia issue ya captain Tesha. Iko hivi:
Captain Tesha ni project ya Wakristo hasa Ufufuo na Uzima.
Yule ni polisi jamii, a.k.a sungusungu wakamshonea nembo ya jwtz na kuweka kwenye kofia ya mtumba. Mashati ya jeshi mtumbani yako mengi, na nchi za watu yanauzwa kwa wazi tu hata Raia anauziwa.
Kijana akapewa risala asome huku akirekodiwa.
Main purpose ilikuwa jeshi lipewe mshtuko lione nchi haiko salama wampoke Samia nchi.
Then baadaye utaratibu mpya ukitangazwa ndani ya chama kumteua mgombea Gwajima apenye.
surely 100% ya machafuko ya October 29 kanisa la Tanzania ndilo liliratibu
Kwa hiyo Allah akatoka Makka akaja kumsaidia Samia?
 
Kumbe na wewe ni mpumbavu namna hii? Akili mgando kama hizi ndizo zinafanya Samia azidi kununua magari yakifahari huku wananchi wanakufa kwa kukosa huduma za kujifungua. Bongo watu wana chuki za kijinga sana na wewe ni mmoja wao.
Kwenye ukweli lazima tuseme labda kama ujafatilia ugomvi wao huko IG
Mimi nasupport wanaharakati wote wa kweli wanaounganisha watu kuwatoa Ccm madarakani
 
Back
Top Bottom