Je, Captain Tesha, Habil na Kabil ilikuwa project ya Night walk ya Wana usalama?

Huyo Cap-Tesha ameudhi sana watu na nafikiri analijua hilo kama binaadamu kweli adhabu yake ni kifo ameua watu pia… mshenzi sana huyo kama kweli ulikuwa mpango wa maviccm kuwaingiza mkenge raia waliweza
 
Wana Usalama hawafanyi project za kutania kufanya mapinduzi. Wanaweza kufanya spinining kama "mzee wa loliondo", au "popobawa", au "kumshika mtu bega nyeti zikapotea" lakini siyo project ya kumwambia na kumshawishi CDF achukue nchi!
Achana ha hao wehu
 
J
Binafsi nahisi kama umewa overate sana TISS kwa hili andiko lako kutokana na ukweli kwamba huwa wanakuwa reactive kwenye matukio ya usalama wa nchi badala ya kuwa proactive mkuu Mtibeli
Jidanganye
 
Habil nae kumbe msanii! Mimi niliacha kumfatilia aliposema Mama yenu anakunywa maji ya kutoka abroad.

Kwani kiu kinasubiri?
Hahahaha Kuna madogo Fulani hv walikua wa moto sana na hizo story ,siku moja nikawagusia kitu kama hiki Cha mleta MADA, na nikawaaambia Mama Rais ,hizi mbanga nyie bado sana, ..mpk Leo hawaniamini
 
Kinembe chako.
 
Captain Tesha ni mjeda kweli, ila naweza kusema kwamba yeye na Polepole ni project ya Wakatoliki kujaribu kumng'oa Kizimkazi.

Haikua ya wakatoliki, ni ya wapenda haki kwasababu walikuamo wengi sana humo CCM na kwenye idara

Inshort ni Power strugle tu, kwani nyie mlivo muona TAL anahubiri NRNE mlijua confidence alikua anatoa wapi?

Power strugle ya CCM ilisababisha baadhi ya Wadau waungane na wapinzani kwenye NRNE
 
Captain Tesha ni mwanajeshi halisi , baada ya tukio lile la kufanya press kama ulikuwa makini kupitia yale matamko ya TPDF utagundua ni mwanajeshi kweli.

Swali tu linabaki kwetu sote ile press alifanyia akiwa wapi[ japo mimi nilikua nasikia ving'ora na magari ] pia motive yake hasa ilikua ipi na alikua na akina nani [japo alishasema CDF apindue na kuchukua nchi]

Ni maajabu tume ya Chande na Machande wenzie wakaogopa kumtaja maana Tesha baada ya ile press ilileta hamasa kubwa kwa waandamanaji.
 
Naona kama Tesha aliwekwa maksudi kuangalia ataungwa mkono vipi jeshini na kuwatambua wasaliti.
 
Keptein Tesha aliongelea meza ile ile aliyokuwa anaongelea Polepole siku ya tarehe 4/10. Na script iliandikwa na Polepole. Keptein Tesha ndiye aliyemkamatisha Polepole tarehe 6/10 maana, wajeda kwanza walizima umeme kwenye transformer ya jirani kisha wakaruka ukuta.
 
Ndiyo hivyo mkuu believe me. Hata Msemaji wa TPDF uliona alichosema baada ya huyo Tesha?

Na jiulize Tesha yuko wapi kwa sasa. Kama angekuwa amepotezwa tungesikia ndugu zake wakimtafuta. Kama andekuwa nje ya nchi basi tungemsikia Kama tunavyowasikia akina Dangwa, Kimambi, Sarungi au Hilda.

Huyu alikuwa ni sehemu ya mfumo. Alim penetrate Polepole kwa kumdanganya kuwa na yeye ni Askari wa TPDF na anawakilisha wanajeshi wanaomuunga mkono Polepole.

Na kwa IQ ndogo ya Polepole akaingia kwenye 18 ya mfumo. Kisha Polepole akamkaribisha na kusaidia kuhariri andiko lake. Kumbe Tesha yuko kwenye mission ya kujua mazingira na namna ya ku execute mission
 
Acha uongo wewe unafikiri kila kitu ni propaganda hebu nenda kaangalie zile press alipokua anaongelea Polepole na pale alipokuwepo Tesha ni vitu viwili tofauti usifanye watu wote ni watoto hawajui kutofautisha.

Press ya Tesha kuna muda kwenye background kulikuwepo na kelele za magari na ving'ora sijawahi kusikia hata siku moja press ya Polepole sauti hata ya watu kuongea au magari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…