Lazima ubishe tu kwa kuwa ni kipaji chako.Acha uongo wewe unafikiri kila kitu ni propaganda hebu nenda kaangalie zile press alipokua anaongelea Polepole na pale alipokuwepo Tesha ni vitu viwili tofauti usifanye watu wote ni watoto hawajui kutofautisha.
Press ya Tesha kuna muda kwenye background kulikuwepo na kelele za magari na ving'ora sijawahi kusikia hata siku moja press ya Polepole sauti hata ya watu kuongea au magari.
Kwani ni lazima nikubali uongo ulioleta wakati nina upeo wa kuchuja na kutofautisha mazingira hao uliowataja walipokua wanafanyia press zao.Lazima ubishe tu kwa kuwa ni kipaji chako.
Jina lako lina Ally kama moja ya jina .Wengine hao siwezi kutia neno maana sijawafuatilia vizuri.
Kabla na baada ya October 29 nilizungumzia issue ya captain Tesha. Iko hivi:
Captain Tesha ni project ya Wakristo hasa Ufufuo na Uzima.
Yule ni polisi jamii, a.k.a sungusungu wakamshonea nembo ya jwtz na kuweka kwenye kofia ya mtumba. Mashati ya jeshi mtumbani yako mengi, na nchi za watu yanauzwa kwa wazi tu hata Raia anauziwa.
Kijana akapewa risala asome huku akirekodiwa.
Main purpose ilikuwa jeshi lipewe mshtuko lione nchi haiko salama wampoke Samia nchi.
Then baadaye utaratibu mpya ukitangazwa ndani ya chama kumteua mgombea Gwajima apenye.
surely 100% ya machafuko ya October 29 kanisa la Tanzania ndilo liliratibu
Kaa macho 😎Huu uzi umekaa kama uzi wa TISS
Nyani Ngabu aliwaambia hapa kwamba mnalishwa upepo mkamtukana sana sana. Leo mnarudi na maswali yaleyale.
Mleta mada unakaribia kuungana na kaka yako Yerriko Mizimu.
Mmeshindwa kumtoa Lissu.Watibeli tuna mipaka yetu
Mmeshindwa kumtoa Lissu.
Watibeli hamna kitu.
Ujanja ujanja tu.
Sasa wewe mwehu tuambie huyo captain Tesha yuko wapi?Kinembe chako.
Una overestimate sana uwezo wa TISS, watu hawakuandamana sababu ya PTSD ya M029 na kwakuwa hayakua organised mfano na chadema, mange etc so yalikua yana hang tu mitandaoni ila mtaani hakukuwa na mobilizers serious maana wengi bado walikua magerezani kwa kesi za uhaini, uchochezi n.kKuna mambo huyajui kimedani hasa yanayohusu operation na projects za Wanausalama.
Night Walk ni mbinu ya kimedani kupata taarifa, kutingisha mzinga wa nyuki ukiwa gizani kwa kuwasha moto, kisha nyuki wenye ukosefu wa uvumilivu watatoka., Kujua adui aliye ndani ya mfumo.
Ndio maana almost waliojitokeza walikuwa New Characters na wengine ni unknown person.
Hiyo ndio inaitwa Night Walk, kuwa invisible kukamilisha operation
Mbona jeshi halikukanusha kuwa sio mwanajeshi? Na wala hakukamatwa mbona si angewekwa public kama "tapeli"!! Mnapenda sana kudogosha mambo ila kama una akili timamu utajua hata MO29 kulikua na mkono wa askari wenye mafunzo kabisa. Sasa endeleeni kupuuza mkidhani ndio mna solve mgawanyikoWengine hao siwezi kutia neno maana sijawafuatilia vizuri.
Kabla na baada ya October 29 nilizungumzia issue ya captain Tesha. Iko hivi:
Captain Tesha ni project ya Wakristo hasa Ufufuo na Uzima.
Yule ni polisi jamii, a.k.a sungusungu wakamshonea nembo ya jwtz na kuweka kwenye kofia ya mtumba. Mashati ya jeshi mtumbani yako mengi, na nchi za watu yanauzwa kwa wazi tu hata Raia anauziwa.
Kijana akapewa risala asome huku akirekodiwa.
Main purpose ilikuwa jeshi lipewe mshtuko lione nchi haiko salama wampoke Samia nchi.
Then baadaye utaratibu mpya ukitangazwa ndani ya chama kumteua mgombea Gwajima apenye.
surely 100% ya machafuko ya October 29 kanisa la Tanzania ndilo liliratibu
Una overestimate sana uwezo wa TISS, watu hawakuandamana sababu ya PTSD ya M029 na kwakuwa hayakua organised mfano na chadema, mange etc so yalikua yana hang tu mitandaoni ila mtaani hakukuwa na mobilizers serious maana wengi bado walikua magerezani kwa kesi za uhaini, uchochezi n.k
Mfano Habili au Tesha wali divert nini hasa wakati walikua wanachochea sio tu hasira za wananchi bali hata kutaka jeshi lichukue nchi sasa hapo unasemaje ni project ya TISS?
Mbona jeshi halikukanusha kuwa sio mwanajeshi? Na wala hakukamatwa mbona si angewekwa public kama "tapeli"!! Mnapenda sana kudogosha mambo ila kama una akili timamu utajua hata MO29 kulikua na mkono wa askari wenye mafunzo kabisa. Sasa endeleeni kupuuza mkidhani ndio mna solve mgawanyiko
Kumbe na wewe ni mpumbavu namna hii? Akili mgando kama hizi ndizo zinafanya Samia azidi kununua magari yakifahari huku wananchi wanakufa kwa kukosa huduma za kujifungua. Bongo watu wana chuki za kijinga sana na wewe ni mmoja wao.Na huyo ni mmojawapo wa aliyewatapeli wenzake😂
Walioko nje ya Tz walojifanya wanaharakati kumbe ni matapeli tu.
Kwa hiyo Allah akatoka Makka akaja kumsaidia Samia?Wengine hao siwezi kutia neno maana sijawafuatilia vizuri.
Kabla na baada ya October 29 nilizungumzia issue ya captain Tesha. Iko hivi:
Captain Tesha ni project ya Wakristo hasa Ufufuo na Uzima.
Yule ni polisi jamii, a.k.a sungusungu wakamshonea nembo ya jwtz na kuweka kwenye kofia ya mtumba. Mashati ya jeshi mtumbani yako mengi, na nchi za watu yanauzwa kwa wazi tu hata Raia anauziwa.
Kijana akapewa risala asome huku akirekodiwa.
Main purpose ilikuwa jeshi lipewe mshtuko lione nchi haiko salama wampoke Samia nchi.
Then baadaye utaratibu mpya ukitangazwa ndani ya chama kumteua mgombea Gwajima apenye.
surely 100% ya machafuko ya October 29 kanisa la Tanzania ndilo liliratibu
Kwenye ukweli lazima tuseme labda kama ujafatilia ugomvi wao huko IGKumbe na wewe ni mpumbavu namna hii? Akili mgando kama hizi ndizo zinafanya Samia azidi kununua magari yakifahari huku wananchi wanakufa kwa kukosa huduma za kujifungua. Bongo watu wana chuki za kijinga sana na wewe ni mmoja wao.