Je, Captain Tesha, Habil na Kabil ilikuwa project ya Night walk ya Wana usalama?

Hamjambo!

Bado nipo njia panda, Namkumbuka Captain Tesha, utulivu wake, Maneno yake, na body language yake, kisha baadaye tukuo la saabil& Kabil ilikuwa Project ya Night Walk?

Kwenu Wataalam

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Habili nilimkataa toka kitambo sana, kwa namna alivyokuwa anazungumza nikaona hii wali chenga
 
Kwenye ukweli lazima tuseme labda kama ujafatilia ugomvi wao huko IG
Mimi nasupport wanaharakati wote wa kweli wanaounganisha watu kuwatoa Ccm madarakani
Ugomvi siyo lazima uwe wa kimaslahi mkuu. Unaweza kua wa kiitikadi au chanzo kikawa kutofautiana mtazamo kuhusu namna ya kufikia lengo.
 
Jeshi unadhani ni kijiwe cha kahawa.
Yaani issue serious kama ile ulitaka waonyeshe nini wamefanya?
Unakumbuka press ya msemaji wa jeshi ilitumia dk ngapi?
Nyie Matahira wa kiwango vya juu mpaka mnaanoni yule sungusungu kuwa ni captain.
Pumbavu kabisa, vijana wenye udumavu wa akili.
 
Mkuu kwa Tesha namjuwa fresh sana,kuliko unavyo sema ni mgambo.Tesha ni Actually active JWTZ in short usingeo jamb ambalo ulijuw na ufahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…