Je, CCM hakina mawasiliano? Sanga anasema hivi na anashangiliwa, Polepole naye anakanusha na anashangiliwa. Tushike lipi?

Je, CCM hakina mawasiliano? Sanga anasema hivi na anashangiliwa, Polepole naye anakanusha na anashangiliwa. Tushike lipi?

Kwani una taka kushika lipi? Naona una cheza ngoma/mziki wa ccm...
 
Nimezungumza na raisi mara kadhaa hayupo tayari na hataki kusikia hiki mnachowaza/wanachowaza!
Uko sahihi kwa mara ya kwanza tangu nikufahamu , na hii njama inasimamiwa na Ndugai , huyu ndio aliyemtuma yule mbumbumbu wa Darasa la 7 kuchokonoa mada .

Bali nakuhakikishia kwamba hii njama ya kishamba haitofanikiwa
 
Back
Top Bottom