Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #61
Akiwasha feni inakuwaje ?Yaani ni kama vile mtu anajamba halafu yeye mwenyewe fasta anawasha feni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiwasha feni inakuwaje ?Yaani ni kama vile mtu anajamba halafu yeye mwenyewe fasta anawasha feni.
Nafikiri wewe kama humiliki nyumba nyegezi basi itakua unayo mshindo iringa si kwa kuvamia watu namna hiyo bila ya sababu!Nimeshakupuuza km hata huna kumbukumbu ya ulichopost.Nitakuwa nakuonea tu.
😆😆😆Pole pole hajakanusha chochote. Sanga kasema watamlamzimisha ... Pole pole kasema yeye hataki...
Kawaruhusu kujadili kitu asichotaka Rais!Je,Katiba waliyoapa kuilinda inasemaje kuhusu ukomo wa Urais?Kama Rais hataki wanajadili ili iweje?Hawapotezi muda wa kujadiliana mambo yenye Tija kwa Nchi?Msimamo hataongeza muda lkn Wanaruhusiwa kuendelea kujadili na hatimaye wanaweza kumlazimisha atake asitake.
Wamejipanga vzr sana hawa watu.