kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Na mwenye kasuku wake aliyeopo ubelgiji!
Tumekaririshwa na nani dingi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumekaririshwa na nani dingi?
Bora huyo ana akili timamu kuliko dingi yakoNa mwenye kasuku wake aliyeopo ubelgiji!
Yeye amekaririshwa wewe umetumwa. Hakuna afya,tujadili hoja heshimu mtazamo wa mwenzako,ushabiki hauna maana. Unapenda kusikia yanayokufurahisha tu. Unataka watu wawaze ktk hali ya kufanana.Haiwezekani.Mnalazimisha mlichokaririshwa!
Yeye amekaririshwa wewe umetumwa. Hakuna afya,tujadili hoja heshimu mtazamo wa mwenzako,ushabiki hauna maana. Unapenda kusikia yanayokufurahisha tu. Unataka watu wawaze ktk hali ya kufanana.Haiwezekani.
Mkuu huu uzi umeletwa kimtego sana ! , shukrani kwa kung'amua
Wanatufanya mabwege sana !Msimamo hataongeza muda lkn Wanaruhusiwa kuendelea kujadili na hatimaye wanaweza kumlazimisha atake asitake.
Wamejipanga vzr sana hawa watu.
Hili Jukwaa ni la watu wote.Umepost humu ili watu wasome na wachangie.Haya jadili hoja nakushangaa wewe uliyevamia!
It is the epitome of stupidity. Kuwa CCM unahitaji kuwa na akili kama ya mwendawazimu!Msikilize hapa Humphrey Pole pole akizungumza bungeni , kiukweli hiki chama sasa kinaenda kama gari lililokatika senta bolti .
View attachment 1698291
Rais hata ongeza muda lakini isizuie watu kusema Bungeni........ Dah tumepatikana
Kwani umezuiwa na nani kuposti naona kama una dalili zile za homoni kua juu joto limepanda umetaka hoja toa hoja!Hili Jukwaa ni la watu wote.Umepost humu ili watu wasome na wachangie.
Akili umeacha wapi? Au hunazo ,nisije kuhukumu kwa kitu ambacho hujawahi kuwa nacho.
Ni kweli wimbo anaoshupalia DHAIFU Ndugai ni LITAKE LISITAKE..Ndugai amechukia wabunge kumshangilia Polepole , anaona lengo lake la kumuongeza Magufuli muda halitatimia
Yeye mwenyewe anawatuma full
Sio huyo mgonjwa wa Chattle ambaye moyo wake unaendeshwa na battery! (Ofcoz pipo uzed to die in ze rek)Na mwenye kasuku wake aliyeopo ubelgiji!
Kwani umezuiwa na nani kuposti naona kama una dalili zile za homoni kua juu joto limepanda umetaka hoja toa hoja!
Binti kwa nini usiende kumkorogea uji mmeo???Kwanza aumtambui kama Magufuli ni Rais.
Na ata akitoka atakae kuja pia atakua ni CCM.
Kama unauchungu saana basi anza kwanza na Mbowe mwenyekiti wa kudumu wa CDM aachie wengine nafasi yake.
Nimeshakupuuza km hata huna kumbukumbu ya ulichopost.Nitakuwa nakuonea tu.Kwani umezuiwa na nani kuposti naona kama una dalili zile za homoni kua juu joto limepanda umetaka hoja toa hoja!
Hakuna CHAMA. Kuna Dola.Rais angeingia kwny mtego wa kubadili katiba, Chama kingesambaratika vibaya mno