Kumbuka maneno haya yalisema na kiongozi mkubwaMsikilize hapa Humphrey Pole pole akizungumza bungeni , kiukweli hiki chama sasa kinaenda kama gari lililokatika senta bolti .
View attachment 1698291
Ndiyo matunda ya kuondoa watu wenye weledi bungeni na badala yake kujaza vilaza ambao wanachoweza ni kugonga meza na kukenua tu kama manyani vile.Hujamsikia Ndugai leo kuhusu kupiga makofi?!
Na wewe pia"NAKUTAFUNA"Binti kwa nini usiende kumkorogea uji mmeo???
Mwana umeua!!!!!Kuweka imani kwa polepole ni sawa na kuamini maneno ya Mama diamond platinum kuhusu Mimba
Hakuna CHAMA. Kuna Dola.
Kungekuwa na chama Magufuli asingekuwa anawageuzageuza kama dagaa. Check ANC ya SA
Huyo Sanga, jamani, ameishia darasa la 2. Hakufika darasa la7. Hata fomu huwa anajaziwa. Hana uwezo wa kusoma wala kuandika vizuri.Uko sahihi kwa mara ya kwanza tangu nikufahamu , na hii njama inasimamiwa na Ndugai , huyu ndio aliyemtuma yule mbumbumbu wa Darasa la 7 kuchokonoa mada .
Bali nakuhakikishia kwamba hii njama ya kishamba haitofanikiwa
BalaaSio huyo mgonjwa wa Chattle ambaye moyo wake unaendeshwa na battery! (Ofcoz pipo uzed to die in ze rek)
WasakatongeMsikilize hapa Humphrey Pole pole akizungumza bungeni , kiukweli hiki chama sasa kinaenda kama gari lililokatika senta bolti .
View attachment 1698291
Yaani ni kama vile mtu anajamba halafu yeye mwenyewe fasta anawasha feni.Hawa watu wanatest kina cha maji , Yani wanatumana kuchokonoa mada then wanakuja kurekebisha. Ni wajinga ndio wataamini kuwa hawa watu wapo tofauti.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukweli ni Maajabu ya CcmMsikilize hapa Humphrey Pole pole akizungumza bungeni , kiukweli hiki chama sasa kinaenda kama gari lililokatika senta bolti .
View attachment 1698291
Yaani kama mchezo wa karata tatu vile.Rais hata ongeza muda lakini isizuie watu kusema Bungeni........ Dah tumepatikana
Magufuli amevunja katiba ya chama na ilani ya chama mara ngapi ??Ina maana vurugu za kina Nape na Kina Kinana zile unadhan walikuwa wanagombea nini?
Kinana unadhan alijiuzulu Ukatibu Mkuu wa Chama kupinga jambo gani?
Au ulitaka kifanyike nini ujue chama kimesimama?
mbona taarifa ya pole pole imenyooka tuMsikilize hapa Humphrey Pole pole akizungumza bungeni , kiukweli hiki chama sasa kinaenda kama gari lililokatika senta bolti .
Nimemsikia amesema Watakatifu wa bungeni wanapiga makofi kama Misukule maana panapostahili makofi wanapiga pasipostahili makofi wanapiga zaidi.Hujamsikia Ndugai leo kuhusu kupiga makofi?!
Na magonjwa yote yasiotibika anaumwa yeye, ila kujifanya mzima kama sie, vipaja sasa vilivyomkauka.Sio huyo mgonjwa wa Chattle ambaye moyo wake unaendeshwa na battery! (Ofcoz pipo uzed to die in ze rek)