Kawaruhusu kujadili kitu asichotaka Rais!Je,Katiba waliyoapa kuilinda inasemaje kuhusu ukomo wa Urais?Kama Rais hataki wanajadili ili iweje?Hawapotezi muda wa kujadiliana mambo yenye Tija kwa Nchi?
Maajabu hayatakaa yaishe huko CCM. Tumewakabidhi bucha...