Je, CCM ilisajiliwa UPYA ulipoasisiwa mfumo wa Vyama vingi Julai 1992?

Mnyika analipwa 7m/mwezi, VX na diplomatic passport
 
Hao wanasheria wapo, lakini kwa mahakama zipi? Hizi zenye kesi ya kina mdee mwaka wa tatu+ huu? Hakuna mahakama humu nchini ya kuthubutu kuendesha kesi ya kuhoji usajili wa ccm.
si ikafunguliwe east Africa Court, Africa Court au ICC?
 
Hakuna hukumu yoyote ya nchi ya nchi inatekelezwa humu ndani. Mfano halisi, mahakama ya Africa Mashariki imetoa hukumu kuwa wakurugenzi hawastahili kusimamia tena chaguzi zetu, je hilo limetekelezwa? ICC ina viwango vya kesi zake.

Na kwa kukusaidia tu, serekali zinazokaa madarakani kwa kupora chaguzi za nchi huwa haziogopi mahakama, Bali huogopa nguvu ya umma tu.
 
kwahiyo ndani pagumu njee pagumu right?

kwahiyo vibaraka ni ngumi sana kufua dafu humu nchini?
 
Nje sio pagumu maana huko mahakama zinajitambua, ndio maana serekali hii ya majizi huwa haishindi. Utekelezaji kwa huku ndani ni ngumu maana sio serekali inayoheshimu maamuzi ya mahakama.
 
Mafarakano ya fikra miongoni mwa generations zinasumbua sana na hivyo kunakosekana dira na uelekeo moja.

ni vigumu taasisi ya nje kuamua mambo ya ndani ya nchi nyiningine.
Maamuzi ya hivyo hubaki kama kumbukumbu tu.

Mie nadhani mambo ya ndani ya nchi yafaa yaamuliwe au kutatuliwa ndani ya nchi husika kiungwana.

Lakini ile muhimu zaidi ni ungwana wa wanaohisi jambo fulani si sawa yafaa kurekebishwa na kushinikiza au kulazimisha bila kuliwasilisha kiungwana kwa wahusika, huwa linapuuzwaa...
 
Kutekeleza Sheria nako kunahitaji kubembelezana? Ukiona utawala unataka itii Sheria kwa watu kujinyenyekeza, ujue ni utawala unaotawala kwa kujenga uoga, na iwapo utajinyenyekeza ili sheria itekelezwe, hakuna Sheria yoyote itatekelezwa, sana itapelekea nchi hiyo kuzalisha mazombie.

Na hapa ndio tulipofikia kama nchi, Sheria zinatekelezwa kwa utashi wa viongozi. Namna pekee ya Sheria kutekelezwa baada ya kufikia Hali hii, ni aidha machafuko au mapinduzi ya kijeshi.
 
ya kijeshi ni ya kusahau Tz.

wanaodai mabadilko mathalan humu nchini wanachochewa na urika (generations) kitu ambacho generation moja inahisi kua bora na yenye haki zaidi ya nyiningine.

Hicho kinaathiri kila attempt inayofanywa nawanaojiita wanadai haki au wanadhulumiwa mipango na attempt zao kubuma at a very bigining stage.

Hii inasababisha mlipuko wa mihemko na ghadhabu kwa wanakusudia kuendeleza harakati zilizobuma, kujiona ni hodari zaidi na kujiona majasiri sana kwa kutukana au kudhihaki watawala bila kuwa na hoja madhubuti ....

Matokeo yake wanabaki kuwa kituko na kichekesho kwa generations.
Generations zinabaki kushangaa na kucheka tu kwamba huyu ni kwamba amapitwa na wakati wake, au hajui yuko wakati gani, au haelewi wakati wake bado haujafika n.k
 
Tusubiri uchaguzi ujao, Mwabukusi&co wafile case mahakamani kuomba zuio la CCM kushiriki uchaguzi sababu ni Chama HEWA!!

Magu alikuwa makini, alistuka fasta na kutafuta hati ya Magogoni, maana haikuwepo.

Ulimwengu: Nchi ngumu hii!!
 
Lissu ahsante Kwa kusaidia kujibu swali hili!!
 
Back
Top Bottom