Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Haikusajiliwa popote, ndio maana tumesema kwamba tukishatwaa nchi mapema 2025 tutaifutilia mbaliJohn the Baptist amesema haikusajiliwa.
Hivyo ni chama HEWA!!
WAPINZANI kumbe mnahangaika ni msichokijua Erythrocyte
Kama haijasajiliwa au kuandikwa popote,mtaifutaje?Haikusajiliwa popote , ndio maana tumesema kwamba tukishatwaa nchi mapema 2025 tutaifutilia mbali
Nje ya mada!!Mnyika analipwa 7m/mwezi, VX na diplomatic passport
Kwanini isisajiliwe?CCM haijasajiliwa .
Ivi unaweza kumlipa boss mshahara
Hawana certificate of registrationKwanini isisajiliwe?
Hao wanasheria wapo, lakini kwa mahakama zipi? Hizi zenye kesi ya kina mdee mwaka wa tatu+ huu? Hakuna mahakama humu nchini ya kuthubutu kuendesha kesi ya kuhoji usajili wa ccm.🤣kwahiyo hayupo mwanasheria huyo hata kwa wpinzani wasomi?
si ikafunguliwe east Africa Court, Africa Court au ICC?Hao wanasheria wapo, lakini kwa mahakama zipi? Hizi zenye kesi ya kina mdee mwaka wa tatu+ huu? Hakuna mahakama humu nchini ya kuthubutu kuendesha kesi ya kuhoji usajili wa ccm.
Hakuna hukumu yoyote ya nchi ya nchi inatekelezwa humu ndani. Mfano halisi, mahakama ya Africa Mashariki imetoa hukumu kuwa wakurugenzi hawastahili kusimamia tena chaguzi zetu, je hilo limetekelezwa? ICC ina viwango vya kesi zake.si ikafunguliwe east Africa Court, Africa Court au ICC?
kwahiyo ndani pagumu njee pagumu right?Hakuna hukumu yoyote ya nchi ya nchi inatekelezwa humu ndani. Mfano halisi, mahakama ya Africa Mashariki imetoa hukumu kuwa wakurugenzi hawastahili kusimamia tena chaguzi zetu, je hilo limetekelezwa? ICC ina viwango vya kesi zake.
Na kwa kukusaidia tu, serekali zinazokaa madarakani kwa kupora chaguzi za nchi huwa haziogopi mahakama, Bali huogopa nguvu ya umma tu.
Nje sio pagumu maana huko mahakama zinajitambua, ndio maana serekali hii ya majizi huwa haishindi. Utekelezaji kwa huku ndani ni ngumu maana sio serekali inayoheshimu maamuzi ya mahakama.kwahiyo ndani pagumu njee pagumu right?
kwahiyo vibaraka ni ngumi sana kufua dafu humu nchini?
Nje sio pagumu maana huko mahakama zinajitambua, ndio maana serekali hii ya majizi huwa haishindi. Utekelezaji kwa huku ndani ni ngumu maana sio serekali inayoheshimu maamuzi ya mahakama.
Kutekeleza Sheria nako kunahitaji kubembelezana? Ukiona utawala unataka itii Sheria kwa watu kujinyenyekeza, ujue ni utawala unaotawala kwa kujenga uoga, na iwapo utajinyenyekeza ili sheria itekelezwe, hakuna Sheria yoyote itatekelezwa, sana itapelekea nchi hiyo kuzalisha mazombie.Mafarakano ya fikra miongoni mwa generations zinasumbua sana na hivyo kunakosekana dira na uelekeo moja.
ni vigumu taasisi ya nje kuamua mambo ya ndani ya nchi nyiningine.
Maamuzi ya hivyo hubaki kama kumbukumbu tu.
Mie nadhani mambo ya ndani ya nchi yafaa yaamuliwe au kutatuliwa ndani ya nchi husika kiungwana.
Lakini ile muhimu zaidi ni ungwana wa wanaohisi jambo fulani si sawa yafaa kurekebishwa na kushinikiza au kulazimisha bila kuliwasilisha kiungwana kwa wahusika, huwa linapuuzwaa...
ya kijeshi ni ya kusahau Tz.Kutekeleza Sheria nako kunahitaji kubembelezana? Ukiona utawala unataka itii Sheria kwa watu kujinyenyekeza, ujue ni utawala unaotawala kwa kujenga uoga, na iwapo utajinyenyekeza ili sheria itekelezwe, hakuna Sheria yoyote itatekelezwa, sana itapelekea nchi hiyo kuzalisha mazombie.
Na hapa ndio tulipofikia kama nchi, Sheria zinatekelezwa kwa utashi wa viongozi. Namna pekee ya Sheria kutekelezwa baada ya kufikia Hali hii, ni aidha machafuko au mapinduzi ya kijeshi.
Mlevi huyo una mtumia kama mfano kwenye jamii oliyostarabika?General Ulimwengu aliwahi kusema, Nchi ngumu hii!!
Hicho cheti Cha usajili hawana, ndomana msajili kamwe hawezi kuwaita kuwaonya au kuwafuta.Hawana certificate of registration
Imeamua kuuza bandari na raslimali zote Ili kuturudisha utumwani Ili Ukombozi uanze UPYA.CCM ni Chama Cha Ukombozi