Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Daaa Samia sijui atazungukaje ,kuomba kura wakati yupo mwenyeweSiku zinavyozidi kwenda mambo yanazidi kuharibika halafu wanasema upinzani ndo wanaharibu, kama hawataki mabadiriko ya katiba nani anatafuta uharibifu hapo!
Sioni wagombea wa TADEA,CUF,NLD,SAU,ACT n.k wakishinda viti vya ubunge. Na sioni mgombea wa CCM ashinde Jimbo afu ushindi wake utolewe kafara na kupewa wapinzani ili kuzuga kuwa Kuna free and fair election.
Je itabidi mwaka huu CCM ijiibie kura yenyewe Ili iwape wapinzani baadhi ya majimbo?
Huu mwaka ni moto.
Ijibie uwape chama gan?? Yaan Kuna chama ambacho Mkutanon wanaweza fikisha watu 50?.Sioni wagombea wa TADEA,CUF,NLD,SAU,ACT n.k wakishinda viti vya ubunge. Na sioni mgombea wa CCM ashinde Jimbo afu ushindi wake utolewe kafara na kupewa wapinzani ili kuzuga kuwa Kuna free and fair election.
Je itabidi mwaka huu CCM ijiibie kura yenyewe Ili iwape wapinzani baadhi ya majimbo?
Huu mwaka ni moto.
Kwanza mwaka huu wale watu wa maporini watakosa posho,Wataalaamu wakujaza maboksi hawatakuwa na kazi ngumu ,,Hakutakuwa na sababu yapigaji kura hewa bali maboksi yatajazwa kura feki. Yaani mwaka huu watu wengi watakosa ulaji.Lisu yupo Raha mstarehe Lupango kwavyovyote watamlaza chumba cha peke yake wanaogopa wakimlaza na wenzake atapata wafuasi na wanachama jela.CDM inakwenda kupaa zaidi nani akapige kura uchaguzi wa chama kimoja na marafiki zake.Hata hao CCM hawataenda kwasababu wstu watawachukulia kuwa wasaliti.Sikuzote watu walikuwa wanajificha kwenye kivuli cha CDM leo hakipo ukienda kupiga unajulikana tu wewe ni ccm.Sioni wagombea wa TADEA,CUF,NLD,SAU,ACT n.k wakishinda viti vya ubunge. Na sioni mgombea wa CCM ashinde Jimbo afu ushindi wake utolewe kafara na kupewa wapinzani ili kuzuga kuwa Kuna free and fair election.
Je itabidi mwaka huu CCM ijiibie kura yenyewe Ili iwape wapinzani baadhi ya majimbo?
Huu mwaka ni moto.
Na iwe hivyoCCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
Yaani CCM washinde afu Jimbo wawape ACTZitto keshakula part payment yake ya Uchaguzi. Wanaenda kupewa majimbo machache Kigoma na Lindi na Luzuku eti ili wakifanye ACT kuwa Chama Kikuu cha Upinzani.
Uzuri Watanzania wameshashtukia mchezo mapema sana na kuwajua kuwa ACT ni mapandikizi ya CCM yaliyo kazini kwa hiyo hakutakuwa na lolote
Atakuwa anawachukua akina mwijaku hivyo hivyo tuDaaa Samia sijui atazungukaje ,kuomba kura wakati yupo mwenyewe
ππππWatashinda, Zitto Kigoma, Mdee Kawe, Bulaya Bunda, Catherine Ruge Serengeti, Easter Matiko Tarime, Mlimba anakamata yule mama..... Watakuwepo wengi kupitia ACT wazalendo. Soon watahama chama
Na kina JotiAtakuwa anawachukua akina mwijaku hivyo hivyo tu
Na akina baba levoNa kina Joti
ta wasanii CCM Haina aja ya kutumia mamilioni wakati wapo wenyeweKwanza mwaka huu wale watu wa maporini watakosa posho,Wataalaamu wakujaza maboksi hawatakuwa na kazi ngumu ,,Hakutakuwa na sababu yapigaji kura hewa bali maboksi yatajazwa kura feki. Yaani mwaka huu watu wengi watakosa ulaji.Lisu yupo Raha mstarehe Lupango kwavyovyote watamlaza chumba cha peke yake wanaogopa wakimlaza na wenzake atapata wafuasi na wanachama jela.CDM inakwenda kupaa zaidi nani akapige kura uchaguzi wa chama kimoja na marafiki zake.Hata hao CCM hawataenda kwasababu wstu watawachukulia kuwa wasaliti.Sikuzote watu walikuwa wanajificha kwenye kivuli cha CDM leo hakipo ukienda kupiga unajulikana tu wewe ni ccm.