Halaiser
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,741
- 7,679
CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
Atazunguka kusema "Hili pia mkalitizame " Maana ni mgombea pekee.Daaa Samia sijui atazungukaje ,kuomba kura wakati yupo mwenyewe
Safari hii wamelikoroga! Na itabidi walinywe ili kuondoa aibu.Sioni wagombea wa TADEA, CUF, NLD, SAU, ACT n.k wakishinda viti vya ubunge. Na sioni mgombea wa CCM ashinde Jimbo afu ushindi wake utolewe kafara na kupewa wapinzani ili kuzuga kuwa Kuna free and fair election.
Je, itabidi mwaka huu CCM ijiibie kura yenyewe Ili iwape wapinzani baadhi ya majimbo?
Huu mwaka ni moto.
Act kwa zenjibar ccm ndio huiba kura ila hawana uwezo wa kuwashida act wazalendo kwa visiwani.Sioni wagombea wa TADEA, CUF, NLD, SAU, ACT n.k wakishinda viti vya ubunge. Na sioni mgombea wa CCM ashinde Jimbo afu ushindi wake utolewe kafara na kupewa wapinzani ili kuzuga kuwa Kuna free and fair election.
Je, itabidi mwaka huu CCM ijiibie kura yenyewe Ili iwape wapinzani baadhi ya majimbo?
Huu mwaka ni moto.
Watashinda, Zitto Kigoma, Mdee Kawe, Bulaya Bunda, Catherine Ruge Serengeti, Easter Matiko Tarime, Mlimba anakamata yule mama..... Watakuwepo wengi kupitia ACT wazalendo. Soon watahama chama
Haya wewe mwenye akili wafundishe wapinzani jinsi ya kushinda dhidi ya tume ya ccm iliyojaa makada kwenye sehemu nyetiKama hawatumii akili watashindwa tuu na kutoa excuses zilezile kila kuchwapo
Mjifunze kutumia faida ya kila changamoto badala ya kulalamikia kila jambo
Kumpa zito wabunge itakuwa ngumu kwa sababu watia nia ccm hawawezi kunyang'anywa majimbo walioshinda baada ya kuyapigania kwa jasho na damu ndani ya mchakato wa chama. Kujiibia mwenyewe ni kazi ngumu kuliko kumwibia mtu baki.
Uenda ikawa kama covids fulani hiviSioni wagombea wa TADEA, CUF, NLD, SAU, ACT n.k wakishinda viti vya ubunge. Na sioni mgombea wa CCM ashinde Jimbo afu ushindi wake utolewe kafara na kupewa wapinzani ili kuzuga kuwa Kuna free and fair election.
Je, itabidi mwaka huu CCM ijiibie kura yenyewe Ili iwape wapinzani baadhi ya majimbo?
Huu mwaka ni moto.
Wanasemaga mwizi akikaa mda mrefu bila kuiba,huwa anaamua kujiibia mwenyeweSioni wagombea wa TADEA, CUF, NLD, SAU, ACT n.k wakishinda viti vya ubunge. Na sioni mgombea wa CCM ashinde Jimbo afu ushindi wake utolewe kafara na kupewa wapinzani ili kuzuga kuwa Kuna free and fair election.
Je, itabidi mwaka huu CCM ijiibie kura yenyewe Ili iwape wapinzani baadhi ya majimbo?
Huu mwaka ni moto.
Sioni wagombea wa TADEA, CUF, NLD, SAU, ACT n.k wakishinda viti vya ubunge. Na sioni mgombea wa CCM ashinde Jimbo afu ushindi wake utolewe kafara na kupewa wapinzani ili kuzuga kuwa Kuna free and fair election.
Je, itabidi mwaka huu CCM ijiibie kura yenyewe Ili iwape wapinzani baadhi ya majimbo?
Huu mwaka ni moto.