PreGE2025 Je, CCM itabidi ijiibie yenyewe baadhi ya majimbo na kuwapa wapinzani?

PreGE2025 Je, CCM itabidi ijiibie yenyewe baadhi ya majimbo na kuwapa wapinzani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
π•Έπ–œπ–†π–π–† π–π–šπ–š π–˜π–Žπ–”π–“π–Ž π–˜π–†π–‡π–†π–‡π–š π–žπ–† π–π–šπ–•π–Žπ–Œπ–† π–π–šπ–—π–†. π–‚π–†π–’π–Šπ–˜π–π–†π–π–Žπ–•π–Žπ–™π–Žπ–˜π–π–† π–œπ–†π–”
 
Sioni wagombea wa TADEA, CUF, NLD, SAU, ACT n.k wakishinda viti vya ubunge. Na sioni mgombea wa CCM ashinde Jimbo afu ushindi wake utolewe kafara na kupewa wapinzani ili kuzuga kuwa Kuna free and fair election.

Je, itabidi mwaka huu CCM ijiibie kura yenyewe Ili iwape wapinzani baadhi ya majimbo?

Huu mwaka ni moto.
Watagawanya majimbo afu mapya watapewa hao wapinzani wa mchongo
 
Sioni wagombea wa TADEA, CUF, NLD, SAU, ACT n.k wakishinda viti vya ubunge. Na sioni mgombea wa CCM ashinde Jimbo afu ushindi wake utolewe kafara na kupewa wapinzani ili kuzuga kuwa Kuna free and fair election.

Je, itabidi mwaka huu CCM ijiibie kura yenyewe Ili iwape wapinzani baadhi ya majimbo?

Huu mwaka ni moto.
Hoja dhaifu sana.Ni kama hoja ya kuzuia uchaguzi ukiwa nje ya uchaguzi
 
Katika mwaka ambao mwamko wa kwenda kupiga kura utakuwa mdogo kuliko miaka yote ya uchaguzi ni huu. Kuna vituo wapiga kura hawatafika hata watu 20.

Ni bora turudi tu kwenye mfumo wa chama kimoja, mambo ya misaada ya nje kwa sharti la demokrasia tumeshindwa. Tugawane tu pesa za miradi ya wizi ya CCM na maisha yaendelee.
Unajindanganya ndugu.
 
Mh Rais bado una WASAA wa kurekebisha hii hali..ita washindani wako wa kisiasa pamoja na wadau muhimu, jadilianeni na mje na
-Katiba Mpya iliyo bora,
-Tume huru halisi na shiriikishi ya Uchaguzi
- Mazingira bora yq utendaji na ufanyakazi wa Vyama vyq Siasa
HAKUNA MSHINDI KATIKA HILI, MSHINDI NI MAMA TANZANIA
Ili ashindwe uchaguzi,
 
Watashinda, Zitto Kigoma, Mdee Kawe, Bulaya Bunda, Catherine Ruge Serengeti, Easter Matiko Tarime, Mlimba anakamata yule mama..... Watakuwepo wengi kupitia ACT wazalendo. Soon watahama chama
Catherine Kahabi yule mpinga ushoga hapewi jimbo?
 
Tutaongea mengi ila yanayotokea middle east soon yatatokea Kwa ajili ya watu wachache ambao hawatatumia akili yao sawa hasa CCM
 
Sioni wagombea wa TADEA, CUF, NLD, SAU, ACT n.k wakishinda viti vya ubunge. Na sioni mgombea wa CCM ashinde Jimbo afu ushindi wake utolewe kafara na kupewa wapinzani ili kuzuga kuwa Kuna free and fair election.

Je, itabidi mwaka huu CCM ijiibie kura yenyewe Ili iwape wapinzani baadhi ya majimbo?

Huu mwaka ni moto.
, itabidi mwaka huu CCM ijiibie kura yenyewe Ili iwape wapinzani baadhi ya majimbo?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sioni wagombea wa TADEA, CUF, NLD, SAU, ACT n.k wakishinda viti vya ubunge. Na sioni mgombea wa CCM ashinde Jimbo afu ushindi wake utolewe kafara na kupewa wapinzani ili kuzuga kuwa Kuna free and fair election.

Je, itabidi mwaka huu CCM ijiibie kura yenyewe Ili iwape wapinzani baadhi ya majimbo?

Huu mwaka ni moto.
Itabidi iwe hivyo. Hakuna namnaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapana sio makatili ila inamhitqji ME mwenye akili kulitambua hilo

Ndio maana mliagizwa kuishi nasi kwa akili
Urais tena nadhani mtakuwa mnausikia kwenye bomba tu. Kazi yenu itabakia chumbani na jikoni tu nini maoni yako?
 
CCM itawalazimu kutumia pesa nyingi Kwaajili ya kuwapa nguvu TADEA,NCCR na wengine ili wazunguke Tanzania nzima kupiga campaign.
Hata hivyo vyama ni mtanzania gani anavijua
 
Back
Top Bottom