Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
- Thread starter
- #21
Msukuma anasema bila Chadema uchaguzi hauna rahaNa akina baba levo
Msukuma anasema bila Chadema uchaguzi hauna rahaNa akina baba levo
Usifanye sherehe kabla ya kufika. Kwani chadema ndo wa kupewa ubunge na udiwani tu? Nasubiri povuSioni wagombea wa TADEA, CUF, NLD, SAU, ACT n.k wakishinda viti vya ubunge. Na sioni mgombea wa CCM ashinde Jimbo afu ushindi wake utolewe kafara na kupewa wapinzani ili kuzuga kuwa Kuna free and fair election.
Je, itabidi mwaka huu CCM ijiibie kura yenyewe Ili iwape wapinzani baadhi ya majimbo?
Huu mwaka ni moto.
"Hata msipotupigia kura, sisi ndio tutaunda serikali"Sioni wagombea wa TADEA, CUF, NLD, SAU, ACT n.k wakishinda viti vya ubunge. Na sioni mgombea wa CCM ashinde Jimbo afu ushindi wake utolewe kafara na kupewa wapinzani ili kuzuga kuwa Kuna free and fair election.
Je, itabidi mwaka huu CCM ijiibie kura yenyewe Ili iwape wapinzani baadhi ya majimbo?
Huu mwaka ni moto.
"Hata msipotupigia kura, sisi ndio tutaunda serikali"CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
MFUMO WA CHAMA KIMOJA UMERUDISioni wagombea wa TADEA, CUF, NLD, SAU, ACT n.k wakishinda viti vya ubunge. Na sioni mgombea wa CCM ashinde Jimbo afu ushindi wake utolewe kafara na kupewa wapinzani ili kuzuga kuwa Kuna free and fair election.
Je, itabidi mwaka huu CCM ijiibie kura yenyewe Ili iwape wapinzani baadhi ya majimbo?
Huu mwaka ni moto.
Mbona wewe unatumia makalio kwanini uwafosi wenzako watumie akili?!Kama hawatumii akili
SIO KWAMBA MFUMO WA KIDIKTETA UMERUDI RASMIMFUMO WA CHAMA KIMOJA UMERUDI
Mbona wewe unatumia makalio kwanini uwafosi wenzako watumie akili?!
Tokea lini Mama K? Mimi nakujua sana humu jukwaani.Natumia makalio kuketi na akili kufikiri
Ila wenzangu mnatumia makalio kufikiri na ndio maana kila siku mnashika mkia😆😆
Hiyo ndio tofauti yetu
Tokea lini Mama K? Mimi nakujua sana humu jukwaani.
Wasikilize MaDC RC Mapolisi vyombo vya Dola.
View attachment 3301976
View attachment 3301977
View attachment 3301979
View attachment 3301980
Kumpa zito wabunge itakuwa ngumu kwa sababu watia nia ccm hawawezi kunyang'anywa majimbo walioshinda baada ya kuyapigania kwa jasho na damu ndani ya mchakato wa chama. Kujiibia mwenyewe ni kazi ngumu kuliko kumwibia mtu baki.Zitto keshakula part payment yake ya Uchaguzi. Wanaenda kupewa majimbo machache Kigoma na Lindi na Luzuku eti ili wakifanye ACT kuwa Chama Kikuu cha Upinzani.
Uzuri Watanzania wameshashtukia mchezo mapema sana na kuwajua kuwa ACT ni mapandikizi ya CCM yaliyo kazini kwa hiyo hakutakuwa na lolote
Watawapa ACT wazalendo nk ajabu mikutano ya kampeni itakua yao na wajumbe waoKatika mwaka ambao mwamko wa kwenda kupiga kura utakuwa mdogo kuliko miaka yote ya uchaguzi ni huu. Kuna vituo wapiga kura hawatafika hata watu 20.
Ni bora turudi tu kwenye mfumo wa chama kimoja, mambo ya misaada ya nje kwa sharti la demokrasia tumeshindwa. Tugawane tu pesa za miradi ya wizi ya CCM na maisha yaendelee.
Watashinda vizuri tuu,mwanaccm gani wa kumshinda Zito?Sioni wagombea wa TADEA, CUF, NLD, SAU, ACT n.k wakishinda viti vya ubunge. Na sioni mgombea wa CCM ashinde Jimbo afu ushindi wake utolewe kafara na kupewa wapinzani ili kuzuga kuwa Kuna free and fair election.
Je, itabidi mwaka huu CCM ijiibie kura yenyewe Ili iwape wapinzani baadhi ya majimbo?
Huu mwaka ni moto.