PreGE2025 Je, CCM itabidi ijiibie yenyewe baadhi ya majimbo na kuwapa wapinzani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Usifanye sherehe kabla ya kufika. Kwani chadema ndo wa kupewa ubunge na udiwani tu? Nasubiri povu
 
"Hata msipotupigia kura, sisi ndio tutaunda serikali"
 
MFUMO WA CHAMA KIMOJA UMERUDI
 
Kazi hiyo wanaiweza na hicho ndo kitatokea....!
 
Mbona wewe unatumia makalio kwanini uwafosi wenzako watumie akili?!

Natumia makalio kuketi na akili kufikiri

Ila wenzangu mnatumia makalio kufikiri na ndio maana kila siku mnashika mkia😆😆

Hiyo ndio tofauti yetu
 
Natumia makalio kuketi na akili kufikiri

Ila wenzangu mnatumia makalio kufikiri na ndio maana kila siku mnashika mkia😆😆

Hiyo ndio tofauti yetu
Tokea lini Mama K? Mimi nakujua sana humu jukwaani.
 
Una maoni yepi
Wasikilize MaDC RC Mapolisi vyombo vya Dola.
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Itakuwa uharibifu kama tutapiga kampeni wakati uhakika wa kushinda upo
 
Kumpa zito wabunge itakuwa ngumu kwa sababu watia nia ccm hawawezi kunyang'anywa majimbo walioshinda baada ya kuyapigania kwa jasho na damu ndani ya mchakato wa chama. Kujiibia mwenyewe ni kazi ngumu kuliko kumwibia mtu baki.
 
Watawapa ACT wazalendo nk ajabu mikutano ya kampeni itakua yao na wajumbe wao
 
Watashinda vizuri tuu,mwanaccm gani wa kumshinda Zito?
 
Mh Rais bado una WASAA wa kurekebisha hii hali..ita washindani wako wa kisiasa pamoja na wadau muhimu, jadilianeni na mje na
-Katiba Mpya iliyo bora,
-Tume huru halisi na shiriikishi ya Uchaguzi
- Mazingira bora ya utendaji na ufanyakazi wa Vyama vya Siasa
HAKUNA MSHINDI KATIKA HILI, MSHINDI NI MAMA TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…