Sdebaseboy
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 793
- 261
Watagawanya majimbo afu mapya watapewa hao wapinzani wa mchongoSioni wagombea wa TADEA, CUF, NLD, SAU, ACT n.k wakishinda viti vya ubunge. Na sioni mgombea wa CCM ashinde Jimbo afu ushindi wake utolewe kafara na kupewa wapinzani ili kuzuga kuwa Kuna free and fair election.
Je, itabidi mwaka huu CCM ijiibie kura yenyewe Ili iwape wapinzani baadhi ya majimbo?
Huu mwaka ni moto.
Cheki hii nguchiroMbona wewe mwoga sanaπππ
Hao wamesema wewe unatetemeka
Hoja dhaifu sana.Ni kama hoja ya kuzuia uchaguzi ukiwa nje ya uchaguziSioni wagombea wa TADEA, CUF, NLD, SAU, ACT n.k wakishinda viti vya ubunge. Na sioni mgombea wa CCM ashinde Jimbo afu ushindi wake utolewe kafara na kupewa wapinzani ili kuzuga kuwa Kuna free and fair election.
Je, itabidi mwaka huu CCM ijiibie kura yenyewe Ili iwape wapinzani baadhi ya majimbo?
Huu mwaka ni moto.
Not easyWatagawanya majimbo afu mapya watapewa hao wapinzani wa mchongo
Unajindanganya ndugu.Katika mwaka ambao mwamko wa kwenda kupiga kura utakuwa mdogo kuliko miaka yote ya uchaguzi ni huu. Kuna vituo wapiga kura hawatafika hata watu 20.
Ni bora turudi tu kwenye mfumo wa chama kimoja, mambo ya misaada ya nje kwa sharti la demokrasia tumeshindwa. Tugawane tu pesa za miradi ya wizi ya CCM na maisha yaendelee.
Mimi ni jasiri sana hata mpira wa kiume pia huwa sivai.Mbona wewe mwoga sanaπππ
Hao wamesema wewe unatetemeka
Ili ashindwe uchaguzi,Mh Rais bado una WASAA wa kurekebisha hii hali..ita washindani wako wa kisiasa pamoja na wadau muhimu, jadilianeni na mje na
-Katiba Mpya iliyo bora,
-Tume huru halisi na shiriikishi ya Uchaguzi
- Mazingira bora yq utendaji na ufanyakazi wa Vyama vyq Siasa
HAKUNA MSHINDI KATIKA HILI, MSHINDI NI MAMA TANZANIA
Catherine Kahabi yule mpinga ushoga hapewi jimbo?Watashinda, Zitto Kigoma, Mdee Kawe, Bulaya Bunda, Catherine Ruge Serengeti, Easter Matiko Tarime, Mlimba anakamata yule mama..... Watakuwepo wengi kupitia ACT wazalendo. Soon watahama chama
Mimi ni jasiri sana hata mpira wa kiume pia huwa sivai.
, itabidi mwaka huu CCM ijiibie kura yenyewe Ili iwape wapinzani baadhi ya majimbo?ππππSioni wagombea wa TADEA, CUF, NLD, SAU, ACT n.k wakishinda viti vya ubunge. Na sioni mgombea wa CCM ashinde Jimbo afu ushindi wake utolewe kafara na kupewa wapinzani ili kuzuga kuwa Kuna free and fair election.
Je, itabidi mwaka huu CCM ijiibie kura yenyewe Ili iwape wapinzani baadhi ya majimbo?
Huu mwaka ni moto.
Kumbe ninyi jinsia ya KE ni makatili sana.Kweli majasiri hawavai mpira sababu hawana wana uhakika ila wewe uhakika huna
Vaa mpira
Kumbe ninyi jinsia ya KE ni makatili sana.
Itabidi iwe hivyo. Hakuna namnaππSioni wagombea wa TADEA, CUF, NLD, SAU, ACT n.k wakishinda viti vya ubunge. Na sioni mgombea wa CCM ashinde Jimbo afu ushindi wake utolewe kafara na kupewa wapinzani ili kuzuga kuwa Kuna free and fair election.
Je, itabidi mwaka huu CCM ijiibie kura yenyewe Ili iwape wapinzani baadhi ya majimbo?
Huu mwaka ni moto.
Urais tena nadhani mtakuwa mnausikia kwenye bomba tu. Kazi yenu itabakia chumbani na jikoni tu nini maoni yako?Hapana sio makatili ila inamhitqji ME mwenye akili kulitambua hilo
Ndio maana mliagizwa kuishi nasi kwa akili
ThubutuuuUrais tena nadhani mtakuwa mnausikia kwenye bomba tu. Kazi yenu itabakia chumbani na jikoni tu nini maoni yako?
Kwahiyo hayo ndio maoni yako?!Thubutuuu
CCM watawapotezeaCCM itawalazimu kutumia pesa nyingi Kwaajili ya kuwapa nguvu TADEA,NCCR na wengine ili wazunguke Tanzania nzima kupiga campaign.
Hata hivyo vyama ni mtanzania gani anavijua