Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
eee bhana eeeee !!Wakifanya hivyo naacha ulozi nafunga kilinge najiunga na CCM kugombea nafasi nyeti
Jr[emoji769]
Hilo shati la Mangula hapo juu ndio sare mpya?Ni hatari kwa mkuu wa idara ya propaganda ya chama kikuu cha upinzani kujikita katika thread za kuipaisha CCM
Ndio mana tunaamini CCM itatawala miaka 100,wapinzani wetu wapo bize kutukodolea macho badala ya kujenga saccos yao.
Kwa tume hii ccm itatawala milele labda yatokee mapinduzi.Ni hatari kwa mkuu wa idara ya propaganda ya chama kikuu cha upinzani kujikita katika thread za kuipaisha ccm
Ndio mana tunaamini ccm itatawala miaka 100,wapinzani wetu wapo bize kutukodolea macho badala ya kujenga saccos yao
Mwaname mzima unajadili shati la mwanaume mwenzio?Hilo shati la Mangula hapo juu ndio sare mpya ?
Kwani hao wabunge 40 mliqapata kwa tume ipi?Kwa tume hii ccm itatakwanwala milele labda yatokee mapinduzi.
Katiba za vyama vyao zinaelekezaje?Samahani wana jf naomba mnieleweshe maana sijui kila kitu
Hivi Rais wa sasa wa marekani D.Trump alipambanishwa na wagombea mwingine ndani ya chama cha Republican ili kugombania urais kupitia chama cha Republican.
Au George Bush alipogombea kwa mara ya pili 2004 kupitia Republican alishindanishwa na wagombea wengine
Au Barack Obama 2012 alipokuwa anagombea mara ya pili alipitishwa tu au alipambana na wengine ndani ya Democratic
Ohoooooo !!!!!
Swali zuri, lakini fuatilia katiba zao pia.sidhani vyama vyao vilipiga marufuku kina Obama kupingwa piaSamahani wana jf naomba mnieleweshe maana sijui kila kitu
Hivi Rais wa sasa wa marekani D.Trump alipambanishwa na wagombea mwingine ndani ya chama cha Republican ili kugombania urais kupitia chama cha Republican.
Au George Bush alipogombea kwa mara ya pili 2004 kupitia Republican alishindanishwa na wagombea wengine
Au Barack Obama 2012 alipokuwa anagombea mara ya pili alipitishwa tu au alipambana na wengine ndani ya Democratic
Nampongeza, lissu ajiandae kufunguliwa kesi za uhujumu uchumi au kuwekewa mapingamizi mahakamani.
Hapo kaweka mgombea wake mfukoni.Jibu lako ni hili hapa, Huyu ni msemaji kwa niaba ya mwenyekiti na Chama Cha Mapinduzi
View attachment 1467849