Uchaguzi 2020 Je, CCM itaruhusu wanachama wake wachukue fomu za kugombea Urais kama Katiba yao inavyoelekeza?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
- Habari Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapin ( 442 X 640 ).jpg

Hili ni swali tu ndugu zangu na wala halina uhusiano na jambo lolote lile.

Maana tumeanza kuona vyama vingine vya siasa vikiruhusu watia nia kujitokeza na kujitangaza.

Je, CCM nayo itafuata misingi ya demokrasia kama dunia na katiba ya nchi inavyoelekeza?

2417140_2202094_Screenshot_.jpg
 
Ni hatari kwa mkuu wa idara ya propaganda ya chama kikuu cha upinzani kujikita katika thread za kuipaisha CCM
Ndio mana tunaamini CCM itatawala miaka 100, wapinzani wetu wapo bize kutukodolea macho badala ya kujenga saccos yao.
 
Ni hatari kwa mkuu wa idara ya propaganda ya chama kikuu cha upinzani kujikita katika thread za kuipaisha ccm
Ndio mana tunaamini ccm itatawala miaka 100,wapinzani wetu wapo bize kutukodolea macho badala ya kujenga saccos yao
Kwa tume hii ccm itatawala milele labda yatokee mapinduzi.
 
Samahani wana jf naomba mnieleweshe maana sijui kila kitu

Hivi Rais wa sasa wa marekani D.Trump alipambanishwa na wagombea mwingine ndani ya chama cha Republican ili kugombania urais kupitia chama cha Republican.

Au George Bush alipogombea kwa mara ya pili 2004 kupitia Republican alishindanishwa na wagombea wengine
Au Barack Obama 2012 alipokuwa anagombea mara ya pili alipitishwa tu au alipambana na wengine ndani ya Democratic
 
Katiba za vyama vyao zinaelekezaje?
 
Swali zuri, lakini fuatilia katiba zao pia.sidhani vyama vyao vilipiga marufuku kina Obama kupingwa pia
 
Back
Top Bottom