Uchaguzi 2020 Je, CCM itaruhusu wanachama wake wachukue fomu za kugombea Urais kama Katiba yao inavyoelekeza?

Shida ya CHADEMA inalindwa na jina na nembo yake.
Lakini mifumo ya utawala ina matatizo sana.

Jina linaakisi vingine viongozi wanafanya vingine.
 
Nampongeza, lissu ajiandae kufunguliwa kesi za uhujumu uchumi au kuwekewa mapingamizi mahakamani.
Hakuna kesi yoyote inayoweza kumzuia Lissu kugombea urais , halafu lingine ni hili suala la Lissu laweza kuigharimu ccm ikazikwa bila kufa , kunahitajika uangalifu kuliko kawaida , huyu lissu kuomba urais siyo mjinga
 
Hivo Ni vyama karibu vyote ikiwemo ccm Mkuu.msikilize polepole mwanaccm kugombea urais marufuku
Nikweli,ila CCM kidoogo wanaweza kukaa na kuamua jambo kiutawala.

Lakini kwa.chadema wao ukiangalia hata wabunge wao tangu enzi za chacha wangwe.mwenyezi mungu amulehemu.
Ugomvi wao ni uleule wa ubinafsi kwa viongozi wajuu.
Wanajiangalia wao wenyewe.
Lakini sijawahi kusikia ccm wabunge wanalia njaa au kulalamikia ukanda kwenye mgawanyo vipato.

Sijawahi kusikia ccm wanalia njaa wabungewao.
 
Hivo Ni vyama karibu vyote ikiwemo ccm Mkuu.msikilize polepole mwanaccm kugombea urais marufuku
Ukiangalia kwa chama cha CUF nao nembo ya bendera na jina viko vizuri kuliko ccm lakini sasa hata vikao vyao wanajionyesha kabisa sura yao tofauti.
Utakuta MAKANZU NA BALAGASHIA kana kwamba hao ni kinanani.

Maana yake washavuluga picha nzima ya jina na nembo yao.

Hovyo kabisa.
 
Wabunge Wa ccm wanavumilia sana, ninachowasifu wanawaheshimu viongozi wao hats wakinyanyaswa.Chadema kila MTU kambale, nimeangalia wale kina silinde
 
Mkuu unauliza jibu, hivi hujui kuwa Membe alionyesha nia tu na akapigwa
 
Ccm aliyekuwa tayari kum challenge Magufuli ni Jemedari Membe peke yake. Waliobaki wote wamefyata mikia
 
Mifano haifanani hata kidogo

Tafuta mifano relevant ili upate majibu relevant
 
Shida ya CHADEMA inalindwa na jina na nembo yake.
Lakini mifumo ya utawala ina matatizo sana.

Jina linaakisi vingine viongozi wanafanya vingine.
CHADEMA ni next level ona hiyo akisi ya mwanga kwenye bendera inayopeperushwa na damu changa juu ya ukuta

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…