Wakifanya hivyo naacha ulozi nafunga kilinge najiunga na CCM kugombea nafasi nyeti.
Jr[emoji769]
Ngumu sana, muulze membe. Kuonyesha nia tu unafukuzwa uwanachama. Wanakwambia Ni desturi. Desturi mpaka inavunja katiba. Ni aibu sana CCM kuogopa demokrasia.
Ni hatari kwa mkuu wa idara ya propaganda ya chama kikuu cha upinzani kujikita katika thread za kuipaisha CCM
Ndio mana tunaamini CCM itatawala miaka 100, wapinzani wetu wapo bize kutukodolea macho badala ya kujenga saccos yao.
Hilo shati la Mangula hapo juu ndio sare mpya?
Kwa tume hii ccm itatawala milele labda yatokee mapinduzi.
Alilishona akiwa muhimbiliMwaname mzima unajadili shati la mwanaume mwenzio?
Kwani hao wabunge 40 mliqapata kwa tume ipi?
Kuganga njaaHivi kwanini Rais anasifiwa sana? Kila kitu rais kila kitu rais kuna agenda gani nyuma ya pazia?
Ndiyo hiyo nafasi ni tamu hawezi kuachia hivi hiviEti chama kikongwe kushindwa kufuata demokrasia ,mtu achaguliwe kwenye vikao,ukongwe wa
chama wa umri sio maamuzi hovyo kabisa yaani Jiwe na makosa yake ya waziwazi arudi?
wakifata katiba ya chama chao kuna mtu ataandika historia ya kuwa one-term president
Wakifanya hivyo naacha ulozi nafunga kilinge najiunga na CCM kugombea nafasi nyeti.
Jr[emoji769]
I see. The cartoon tells everything. Bravo!
Hili ni swali tu ndugu zangu na wala halina uhusiano na jambo lolote lile.
Maana tumeanza kuona vyama vingine vya siasa vikiruhusu watia nia kujitokeza na kujitangaza.
Je, CCM nayo itafuata misingi ya demokrasia kama dunia na katiba ya nchi inavyoelekeza?
Thubutuuu!!! mpaka sasa kuna tetesi inasemekana kuwa hiyo nafasi hawaitoi wameamua kumteua huyo huyo aliopo
Hili ni swali tu ndugu zangu na wala halina uhusiano na jambo lolote lile.
Maana tumeanza kuona vyama vingine vya siasa vikiruhusu watia nia kujitokeza na kujitangaza.
Je, CCM nayo itafuata misingi ya demokrasia kama dunia na katiba ya nchi inavyoelekeza?
Nadhani ni kati ya leo au keshoMembe kashachukua Form?
Kwani hilo ni shati au kimini?Hilo shati la Mangula hapo juu ndio sare mpya?