Je, CCM kama chama tawala kiliridhia na kubariki Mkataba wa Makubaliano na DP World?

Je, CCM kama chama tawala kiliridhia na kubariki Mkataba wa Makubaliano na DP World?

Sasa ni wakati wa kurudiwa mgombea binafsi .
2. Kuikataa ccm na matawi yske
3. Kama imeshindwa kusimamia bandari haiwezi kuongoza nchi
3. Masuala ya muungsno yabakie ccm wananchi waukatae.

Tanzania inahitaji katiba mpya, wagombea binafsi na vyama vipya. Hivi vya sasa vyote vimechoka.

Kusiwe na uchaguzi wowote bila katiba mpya.
 
Hivi unaweza uliza msimamo wa CCM kwa Maana ya nini?

Huu ni mpango wa kutafuta fedha kwa ajili ya Uchaguzi 2025

Mwinyi IPTL
mkapa EPA
kikwete ESCROW
Na hii hapa mwenye akili utaelewa

CCM CHAMA KWANZA TAIFA BADAE
Umemruka mmoja (Magufuli).
Sasa kwa nini hoja yako iwe na mashiko?
Kwa nini Mama Samia naye asiwe kama awamu ya tano?
CCM ni ile ile au ya Samia ni tofauti kwa kuwa ni mwanamke?
Au Magufuli hakuwa CCM?
 
Back
Top Bottom