Uchaguzi 2020 Je, CCM watakubali maridhiano?

Karagabaho, kama mgombea uraisi Lisu alikuwa anazurura tu mitaani kashindwa hata kupitisha fomu majimboni, kaishia kuisumbua tume kuhakiki, wa majimboni si ndo balaa! Chandimu hamfai kabisa kupewa nchi.
 
Hahahaha

mpwa tufurahi kwa kila hatua hadi hapo itakapotamkwa vinginevyo! So far akina Mzee Makamba, Kinana na Wazee wengine wanagongeana tano kwa furaha kama nawaona vile
Ni kuwa viongozi wa CCM wenyewe na wanachama wao wanakubali kabisa kuwa Lissu kiboko na uchaguzi huu ni hatari kwao.
Labda vuvuzela wa JF wao hawaelewi kitu kwao buk7 ndio habari ya mjini.
 
Mpaka Oct 28 utakuwa umelitaja jina la Lissu mara billion+
Usipokuwa makini utaachika kwa kumuota Tundu!
 
Bora nimpigie kura Rungwe lakini Huyu lissu hana tofauti na mange
 
Unaambiwa pingamizi la Lissu wahusika hawachomoki ! kwa mara ya kwanza nchi inafanya uchaguzi bila mgombea urais wa ccm .
Hebu acheni ndoto za mchana bana na nyie mnadanganyana na kujazana sana ujinga.
 
Vi hoja
 
Mimi nalia tu na msambwanda wako tu dah
Umejengekaaa

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…