Kuna kila dalili kuwa this time hakuna anayetaka ujinga, NEC imewaonya Media kuwa hakuna Mbunge aliyepita bila kupingwa, maana yake ni kwamba zile mbwembwe za CCM za kujitangazia ushindi wa mezani zimeyeyuka, nitaattach barua ya NEC
Pili, Mgombea wa CCM kiti cha Urais amewekewa pingamizi na nafasi ya kushinda pingamizi hili ni ndogo sana!
Kama NEC wataendelea na msimamo wao ina maana mgombea wa CCM ataenguliwa rasmi.
Je CCM watakubali kushindwa? Hadi sasa kumbuka wameshapoteza hao wabunge waliosema wamepita bila kupingwa....
"Uchaguzi wa 2020 utakua rahisi sana" CCM hao