Uchaguzi 2020 Je, CCM watakubali maridhiano?

Uchaguzi 2020 Je, CCM watakubali maridhiano?

Kuna kila dalili kuwa this time hakuna anayetaka ujinga, NEC imewaonya Media kuwa hakuna Mbunge aliyepita bila kupingwa, maana yake ni kwamba zile mbwembwe za CCM za kujitangazia ushindi wa mezani zimeyeyuka, nitaattach barua ya NEC

Pili, Mgombea wa CCM kiti cha Urais amewekewa pingamizi na nafasi ya kushinda pingamizi hili ni ndogo sana!

Kama NEC wataendelea na msimamo wao ina maana mgombea wa CCM ataenguliwa rasmi.

Je CCM watakubali kushindwa? Hadi sasa kumbuka wameshapoteza hao wabunge waliosema wamepita bila kupingwa....

"Uchaguzi wa 2020 utakua rahisi sana" CCM hao

Karagabaho, kama mgombea uraisi Lisu alikuwa anazurura tu mitaani kashindwa hata kupitisha fomu majimboni, kaishia kuisumbua tume kuhakiki, wa majimboni si ndo balaa! Chandimu hamfai kabisa kupewa nchi.
 
Hahahaha

mpwa tufurahi kwa kila hatua hadi hapo itakapotamkwa vinginevyo! So far akina Mzee Makamba, Kinana na Wazee wengine wanagongeana tano kwa furaha kama nawaona vile
Ni kuwa viongozi wa CCM wenyewe na wanachama wao wanakubali kabisa kuwa Lissu kiboko na uchaguzi huu ni hatari kwao.
Labda vuvuzela wa JF wao hawaelewi kitu kwao buk7 ndio habari ya mjini.
IMG-20200826-WA0028.jpg
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Lissu anatafuta ongezeko la dau.. kutoka kwa mabeberu wanaotaka kufisadi ya nchi yetu.. afanye yote.. wakili muoga wa mahakama.. kufika kujibu kesi zinazomusubiri.. uwongo wa kutotokea.. eti yupo ndani siku 14.. yajayo muwe tayari kulia.. yeye anafanya kazi kupata pesa zaidi.. wameone anawasaidia..

Hatutaki vibaraka nchini hapa.. lissu hana sifa za kuongoza..

Magufuli 2020 [emoji817]
Mpaka Oct 28 utakuwa umelitaja jina la Lissu mara billion+
Usipokuwa makini utaachika kwa kumuota Tundu!
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Lissu anatafuta ongezeko la dau.. kutoka kwa mabeberu wanaotaka kufisadi ya nchi yetu.. afanye yote.. wakili muoga wa mahakama.. kufika kujibu kesi zinazomusubiri.. uwongo wa kutotokea.. eti yupo ndani siku 14.. yajayo muwe tayari kulia.. yeye anafanya kazi kupata pesa zaidi.. wameone anawasaidia..

Hatutaki vibaraka nchini hapa.. lissu hana sifa za kuongoza..

Magufuli 2020 [emoji817]
Bora nimpigie kura Rungwe lakini Huyu lissu hana tofauti na mange
 
Unaambiwa pingamizi la Lissu wahusika hawachomoki ! kwa mara ya kwanza nchi inafanya uchaguzi bila mgombea urais wa ccm .
Hebu acheni ndoto za mchana bana na nyie mnadanganyana na kujazana sana ujinga.
 
Hakuna limechuja.. nyie mashabiki.. muendelee kukaa gizani.. mumwambie akimbie tena mahakama.. na hadi leo kasahau bantu ba kusisitiza kesi ya kupigwa risasi.. anajua watakamatwa wote viongozi wa Chadema.. walipanga wakapigana risasi.. dereva yupo wapi!!!!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Magufuli 2020 [emoji817]
Vi hoja
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Lissu anatafuta ongezeko la dau.. kutoka kwa mabeberu wanaotaka kufisadi ya nchi yetu.. afanye yote.. wakili muoga wa mahakama.. kufika kujibu kesi zinazomusubiri.. uwongo wa kutotokea.. eti yupo ndani siku 14.. yajayo muwe tayari kulia.. yeye anafanya kazi kupata pesa zaidi.. wameone anawasaidia..

Hatutaki vibaraka nchini hapa.. lissu hana sifa za kuongoza..

Magufuli 2020 [emoji817]
Mimi nalia tu na msambwanda wako tu dah
Umejengekaaa

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom