mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Sasaivi hafai hata kuwa rais wa TLSLissu hawezii kuwa Rais wa nchi hii hata kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasaivi hafai hata kuwa rais wa TLSLissu hawezii kuwa Rais wa nchi hii hata kidogo
Nani atakuwa Rais? huyo huyo anayeshinda akiwabambikia wafanyabiashara wakubwa wapinzani kesi kesi?Lissu hawezii kuwa Rais wa nchi hii hata kidogo
Kauli hi siyo ya unyenyekevu hata kidogo...ni kauli ya dharau dhidi ya watu wa Newala na ambako wako pia wafuasi wa Chadema na Lissu...hivi kweli mnapotoa kauli huwa mnafikiria kuhusu repercussions zake??!!Asiyejua maana haambiwi maana! Sasa wewe uishi huko newala na samaki nchanga zako halafu utarajie kuwa na akili ya kuyajua mambo makubwa kama hayo?! Kaa ulivyo nyau we!
Hahahaha ndiyo Kwanza nimetoka kugema ulanzi kwenye fitindi vya mabondeni...tehtehtehtehSasaivi hafai hata kuwa rais wa TLS
Tutampa Kura nyingi 28 octoberHivi macho yako yanaona kama mimi? Yanaona yanayoendelea Chadema? Chama kinachoomba ridhaa ya kuongoza Tanzania kwenye uchaguzi huu. Viongozi wa Chama hicho ni kama wamemsusia kila kitu mgombea wao wa kiti cha Urais bwana Tundu Lissu na kumwacha afanye mwenyewe kila kitu.
Hakuna anayejishugulisha, anayempa sapoti wala kuonyesha ushirikiano nae wowote ule.
Tumeshuhudia mikutano yote anayotembea Lissu yuko mwenyewe tu bila kuambatana na viongozi wowote waandamizi wa kitaifa wa Chama hicho. Hatumuoni Mbowe, hatumuoni Kigaila wala hatumuoni John Mnyika. Wote wamemuacha solemba Lissu.
Nenda kwenye mikutano ya waandishi wa habari ambayo kimsingi palitegemewa awe John Mrema kama Mkuu wa Kitengo cha Itikadi na Uenezi kutoa taarifa na kuzungumzia tathmini ya uchaguzi na kampeni za Chadema lakini badala yake Lissu anazunguka mwenyewe mikutano yake yote na pakitokea jambo la kuzungumza analazimika tena huyohuyo mwenyewe Lissu kama mgombea kuzungumza na waandishi wa habari, tofauti na inavyotakiwa na hata tunavyoona kwenye vyama vingine vilivyojipambanua kama taasisi kuwa na kitengo cha uratibu wa kampeni kila mmoja. Hii ndio kali ya mwaka naiona.
Hata ratiba ya kampeni na mikutano ambayo kimsingi ilitakiwa kutolewa na idara ya Itikadi na Uenezi, Lissu anatoa mwenyewe. Kila mtu amemsusia Lissu kampeni zote. Hii ndio maana Lissu amekuwa na mlolongo wa makosa ya uvunjifu mkubwa wa maadili ya uchaguzi ya kujirudia rudia kwenye kila mkutano anaoufanya jambo lililosababisha mpaka akafungiwa kufanya kampeni siku 7. Hii inatokana na ukweli kwamba hakuna anayemfunga kengere tena Lissu na kumnyosha kimaadili na kufuata sheria na taratibu mana Chama chake kimemsusia.
Sasa hapa Watanzania wanaweza kupata picha ya aina ya upinzani na vyama vyetu vya upinzani. Hao ndo tuwape nchi kweli? Watu ambao wao kwa wao tu wenyewe hawapatani na wala hawaelewani, vipi itakuwa kwa Watanzania? Yani ndani ya Chama kimoja kila mtu na lake. Mwenyekiti wa Chama na Katibu wake hakuna anayeonekana kwenye mikutano ya mgombea wao na wala hajui kinachoendelea.
Lissu sasa wamemuacha kisiwani asijue cha kufanya. Kama tulivyozoea kuona kwenye mikutano ya vyama vingine vyenye taasisi imara pakiwa na safu nzima ya uongozi wa Chama kitaifa, viongozi waandamizi na wale wa maeneo husika, kwa Lissu mambo ni tofauti kabisa. Wao kwa wao hawana connection na wala huoni tafsiri ya utaasisi wa vyama vyao. Ni kama kikundi tu cha watu fulani wajanja wajanja wameamua kuhadaa na kurubuni watu ili wapate ruzuku ya Serikali ambayo wakishaipata wamekuwa wakigawana kama mchele mbele ya kuku.
Tukawanyime kura watu hawa Oktoba 28 kwenye sanduku la kura. Nchi hii si ya kuchezea chezea na kuleta usanii. Watanzania wanataka maendeleo na si vinginevyo.
Ni Mimi Kijana Wa Newala, Mtwara.
Hii ni propaganda za kishamba shamba tokea gheto kwa cyprian Musiba mnaposhinda mkivuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni na long story zisizo tija, Tambueni kuwa watanzania siyo wajinga wanajua CCM hampati usingizi lazima mkae saa 24 kutengeneza uzushi uongo wa kila aina ili mpate kujifariji kwani wapo wajinga jinga vilaza wachache watakaa na kuamini upumbavu wako lakini watanzania wengi wameamka hawataki kusikia propaganda za CCM kamweHivi macho yako yanaona kama mimi? Yanaona yanayoendelea Chadema? Chama kinachoomba ridhaa ya kuongoza Tanzania kwenye uchaguzi huu. Viongozi wa Chama hicho ni kama wamemsusia kila kitu mgombea wao wa kiti cha Urais bwana Tundu Lissu na kumwacha afanye mwenyewe kila kitu.
Hakuna anayejishugulisha, anayempa sapoti wala kuonyesha ushirikiano nae wowote ule.
Tumeshuhudia mikutano yote anayotembea Lissu yuko mwenyewe tu bila kuambatana na viongozi wowote waandamizi wa kitaifa wa Chama hicho. Hatumuoni Mbowe, hatumuoni Kigaila wala hatumuoni John Mnyika. Wote wamemuacha solemba Lissu.
Nenda kwenye mikutano ya waandishi wa habari ambayo kimsingi palitegemewa awe John Mrema kama Mkuu wa Kitengo cha Itikadi na Uenezi kutoa taarifa na kuzungumzia tathmini ya uchaguzi na kampeni za Chadema lakini badala yake Lissu anazunguka mwenyewe mikutano yake yote na pakitokea jambo la kuzungumza analazimika tena huyohuyo mwenyewe Lissu kama mgombea kuzungumza na waandishi wa habari, tofauti na inavyotakiwa na hata tunavyoona kwenye vyama vingine vilivyojipambanua kama taasisi kuwa na kitengo cha uratibu wa kampeni kila mmoja. Hii ndio kali ya mwaka naiona.
Hata ratiba ya kampeni na mikutano ambayo kimsingi ilitakiwa kutolewa na idara ya Itikadi na Uenezi, Lissu anatoa mwenyewe. Kila mtu amemsusia Lissu kampeni zote. Hii ndio maana Lissu amekuwa na mlolongo wa makosa ya uvunjifu mkubwa wa maadili ya uchaguzi ya kujirudia rudia kwenye kila mkutano anaoufanya jambo lililosababisha mpaka akafungiwa kufanya kampeni siku 7. Hii inatokana na ukweli kwamba hakuna anayemfunga kengere tena Lissu na kumnyosha kimaadili na kufuata sheria na taratibu mana Chama chake kimemsusia.
Sasa hapa Watanzania wanaweza kupata picha ya aina ya upinzani na vyama vyetu vya upinzani. Hao ndo tuwape nchi kweli? Watu ambao wao kwa wao tu wenyewe hawapatani na wala hawaelewani, vipi itakuwa kwa Watanzania? Yani ndani ya Chama kimoja kila mtu na lake. Mwenyekiti wa Chama na Katibu wake hakuna anayeonekana kwenye mikutano ya mgombea wao na wala hajui kinachoendelea.
Lissu sasa wamemuacha kisiwani asijue cha kufanya. Kama tulivyozoea kuona kwenye mikutano ya vyama vingine vyenye taasisi imara pakiwa na safu nzima ya uongozi wa Chama kitaifa, viongozi waandamizi na wale wa maeneo husika, kwa Lissu mambo ni tofauti kabisa. Wao kwa wao hawana connection na wala huoni tafsiri ya utaasisi wa vyama vyao. Ni kama kikundi tu cha watu fulani wajanja wajanja wameamua kuhadaa na kurubuni watu ili wapate ruzuku ya Serikali ambayo wakishaipata wamekuwa wakigawana kama mchele mbele ya kuku.
Tukawanyime kura watu hawa Oktoba 28 kwenye sanduku la kura. Nchi hii si ya kuchezea chezea na kuleta usanii. Watanzania wanataka maendeleo na si vinginevyo.
Ni Mimi Kijana Wa Newala, Mtwara.
Usijihangaishe kusoma kwani kaandika upumbavu mtupu wa kukariri toka kwa kubwa jinga Le mutuz na cyprian Musiba adui namba moja wa Tundu lisuHata sijasoma ila akili yako ina mtindio wa ubungo
Kama aliyeketa uzi Hapo juu ni wewe Kuna haja gani ya kuwahi siti ya Kwanza? Haya ndo matatizo ya kuelekezwa cha kupost JF. Acha kushikiwa akili, unajidhalilisha.Lissu hawezii kuwa Rais wa nchi hii hata kidogo
Yaani una toa mada halafu unakuwa wa kwanza kuji jibu. Ajabu!Lissu hawezii kuwa Rais wa nchi hii hata kidogo
usijali tutampa mumeoLissu hawezii kuwa Rais wa nchi hii hata kidogo
Tatizo la polepole na cyprian Musiba ni kakaa kuwaza kuwa watanzania ni wajinga kuliko wao, siku wakijua watanzania wana Akili timamu nyingi kuliko wao wataacha kutengeneza propaganda za kishamba shambataarifa za uchochoroni
hizi taarifa ndio hua mnakaa kwenye vilabu vya mbege mnaongea kujifurahisha
Ha haaaaaaAsiyejua maana haambiwi maana! Sasa wewe uishi huko newala na samaki nchanga zako halafu utarajie kuwa na akili ya kuyajua mambo makubwa kama hayo?! Kaa ulivyo nyau we!
Simba huwa hahitaji msaada kuwindaHivi macho yako yanaona kama mimi? Yanaona yanayoendelea Chadema? Chama kinachoomba ridhaa ya kuongoza Tanzania kwenye uchaguzi huu. Viongozi wa Chama hicho ni kama wamemsusia kila kitu mgombea wao wa kiti cha Urais bwana Tundu Lissu na kumwacha afanye mwenyewe kila kitu.