minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Kupita bila kupingwa ndiyo ushetani Hatari uliopo CCM ya sasaHivi unadhani majaliwa angekuwa na mpinzani angethubuta kuzurula..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupita bila kupingwa ndiyo ushetani Hatari uliopo CCM ya sasaHivi unadhani majaliwa angekuwa na mpinzani angethubuta kuzurula..
Well said, Mkuu!Hivi macho yako yanaona kama mimi? Yanaona yanayoendelea Chadema? Chama kinachoomba ridhaa ya kuongoza Tanzania kwenye uchaguzi huu. Viongozi wa Chama hicho ni kama wamemsusia kila kitu mgombea wao wa kiti cha Urais bwana Tundu Lissu na kumwacha afanye mwenyewe kila kitu.
Hakuna anayejishugulisha, anayempa sapoti wala kuonyesha ushirikiano nae wowote ule.
Tumeshuhudia mikutano yote anayotembea Lissu yuko mwenyewe tu bila kuambatana na viongozi wowote waandamizi wa kitaifa wa Chama hicho. Hatumuoni Mbowe, hatumuoni Kigaila wala hatumuoni John Mnyika. Wote wamemuacha solemba Lissu.
Nenda kwenye mikutano ya waandishi wa habari ambayo kimsingi palitegemewa awe John Mrema kama Mkuu wa Kitengo cha Itikadi na Uenezi kutoa taarifa na kuzungumzia tathmini ya uchaguzi na kampeni za Chadema lakini badala yake Lissu anazunguka mwenyewe mikutano yake yote na pakitokea jambo la kuzungumza analazimika tena huyohuyo mwenyewe Lissu kama mgombea kuzungumza na waandishi wa habari, tofauti na inavyotakiwa na hata tunavyoona kwenye vyama vingine vilivyojipambanua kama taasisi kuwa na kitengo cha uratibu wa kampeni kila mmoja. Hii ndio kali ya mwaka naiona.
Hata ratiba ya kampeni na mikutano ambayo kimsingi ilitakiwa kutolewa na idara ya Itikadi na Uenezi, Lissu anatoa mwenyewe. Kila mtu amemsusia Lissu kampeni zote. Hii ndio maana Lissu amekuwa na mlolongo wa makosa ya uvunjifu mkubwa wa maadili ya uchaguzi ya kujirudia rudia kwenye kila mkutano anaoufanya jambo lililosababisha mpaka akafungiwa kufanya kampeni siku 7. Hii inatokana na ukweli kwamba hakuna anayemfunga kengere tena Lissu na kumnyosha kimaadili na kufuata sheria na taratibu mana Chama chake kimemsusia.
Sasa hapa Watanzania wanaweza kupata picha ya aina ya upinzani na vyama vyetu vya upinzani. Hao ndo tuwape nchi kweli? Watu ambao wao kwa wao tu wenyewe hawapatani na wala hawaelewani, vipi itakuwa kwa Watanzania? Yani ndani ya Chama kimoja kila mtu na lake. Mwenyekiti wa Chama na Katibu wake hakuna anayeonekana kwenye mikutano ya mgombea wao na wala hajui kinachoendelea.
Lissu sasa wamemuacha kisiwani asijue cha kufanya. Kama tulivyozoea kuona kwenye mikutano ya vyama vingine vyenye taasisi imara pakiwa na safu nzima ya uongozi wa Chama kitaifa, viongozi waandamizi na wale wa maeneo husika, kwa Lissu mambo ni tofauti kabisa. Wao kwa wao hawana connection na wala huoni tafsiri ya utaasisi wa vyama vyao. Ni kama kikundi tu cha watu fulani wajanja wajanja wameamua kuhadaa na kurubuni watu ili wapate ruzuku ya Serikali ambayo wakishaipata wamekuwa wakigawana kama mchele mbele ya kuku.
Tukawanyime kura watu hawa Oktoba 28 kwenye sanduku la kura. Nchi hii si ya kuchezea chezea na kuleta usanii. Watanzania wanataka maendeleo na si vinginevyo.
Ni Mimi Kijana Wa Newala, Mtwara.
Hivi macho yako yanaona kama mimi? Yanaona yanayoendelea Chadema? Chama kinachoomba ridhaa ya kuongoza Tanzania kwenye uchaguzi huu. Viongozi wa Chama hicho ni kama wamemsusia kila kitu mgombea wao wa kiti cha Urais bwana Tundu Lissu na kumwacha afanye mwenyewe kila kitu.
Hakuna anayejishugulisha, anayempa sapoti wala kuonyesha ushirikiano nae wowote ule.
Tumeshuhudia mikutano yote anayotembea Lissu yuko mwenyewe tu bila kuambatana na viongozi wowote waandamizi wa kitaifa wa Chama hicho. Hatumuoni Mbowe, hatumuoni Kigaila wala hatumuoni John Mnyika. Wote wamemuacha solemba Lissu.
Nenda kwenye mikutano ya waandishi wa habari ambayo kimsingi palitegemewa awe John Mrema kama Mkuu wa Kitengo cha Itikadi na Uenezi kutoa taarifa na kuzungumzia tathmini ya uchaguzi na kampeni za Chadema lakini badala yake Lissu anazunguka mwenyewe mikutano yake yote na pakitokea jambo la kuzungumza analazimika tena huyohuyo mwenyewe Lissu kama mgombea kuzungumza na waandishi wa habari, tofauti na inavyotakiwa na hata tunavyoona kwenye vyama vingine vilivyojipambanua kama taasisi kuwa na kitengo cha uratibu wa kampeni kila mmoja. Hii ndio kali ya mwaka naiona.
Hata ratiba ya kampeni na mikutano ambayo kimsingi ilitakiwa kutolewa na idara ya Itikadi na Uenezi, Lissu anatoa mwenyewe. Kila mtu amemsusia Lissu kampeni zote. Hii ndio maana Lissu amekuwa na mlolongo wa makosa ya uvunjifu mkubwa wa maadili ya uchaguzi ya kujirudia rudia kwenye kila mkutano anaoufanya jambo lililosababisha mpaka akafungiwa kufanya kampeni siku 7. Hii inatokana na ukweli kwamba hakuna anayemfunga kengere tena Lissu na kumnyosha kimaadili na kufuata sheria na taratibu mana Chama chake kimemsusia.
Sasa hapa Watanzania wanaweza kupata picha ya aina ya upinzani na vyama vyetu vya upinzani. Hao ndo tuwape nchi kweli? Watu ambao wao kwa wao tu wenyewe hawapatani na wala hawaelewani, vipi itakuwa kwa Watanzania? Yani ndani ya Chama kimoja kila mtu na lake. Mwenyekiti wa Chama na Katibu wake hakuna anayeonekana kwenye mikutano ya mgombea wao na wala hajui kinachoendelea.
Lissu sasa wamemuacha kisiwani asijue cha kufanya. Kama tulivyozoea kuona kwenye mikutano ya vyama vingine vyenye taasisi imara pakiwa na safu nzima ya uongozi wa Chama kitaifa, viongozi waandamizi na wale wa maeneo husika, kwa Lissu mambo ni tofauti kabisa. Wao kwa wao hawana connection na wala huoni tafsiri ya utaasisi wa vyama vyao. Ni kama kikundi tu cha watu fulani wajanja wajanja wameamua kuhadaa na kurubuni watu ili wapate ruzuku ya Serikali ambayo wakishaipata wamekuwa wakigawana kama mchele mbele ya kuku.
Tukawanyime kura watu hawa Oktoba 28 kwenye sanduku la kura. Nchi hii si ya kuchezea chezea na kuleta usanii. Watanzania wanataka maendeleo na si vinginevyo.
Ni Mimi Kijana Wa Newala, Mtwara.
Tatizo la watetezi wa CCM mitandaoni bado wamekariri zile propaganda za mwaka 2015 hawajui kuwa mwaka 2020 watanzania wana machungu hasira za kutaabika mateso ya kubambikiwa kesi kesi unyanyasaji uonevu mwingi tokea CCMUharo mtupu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa unajibizana na nani hapa? Wewe si ndio OP?Lissu hawezii kuwa Rais wa nchi hii hata kidogo
Wengi ni viller hawana ushawishiTatizo la watetezi wa CCM mitandaoni bado wamekariri zile propaganda za mwaka 2015 hawajui kuwa mwaka 2020 watanzania wana machungu hasira za kutaabika mateso ya kubambikiwa kesi kesi unyanyasaji uonevu mwingi tokea CCM
Bado unavuta Bangi hapo kwa cyprian Musiba au upo kwa polepole unakariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM?Well said, Mkuu!
Lissu laana inamtafuna
Laaana anaye JIWE na CCM kwa mauaji ya damu isiyonahatia! Kama MUNGU aishivyo
Post ya nane hii unatumia same comment ni mwendo wa kukopi na kupest.CCM mpya chini ya Bashiru na Chakubanga mbona imeacha kuongelea mambo ya madege na madaraja? Walidhani mwanzoni kuwa wananchi watakula madaraja? Sasa kama wanajua kusoma alama za nayakati wasome. Huu uchaguzi waki mess up wanakwenda kupigwa vikwazo siyo vya dunia hii.. Yaani sisi
Hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu anaitaka CCM tenaUjinga wa kuwapa tena uongozi CCM baada ya miaka 60 ya maumivu unatoka wapi? Kama siwezi mpigia TL kura bora niiharibu. Ni TL Oktoba 28, 2020. Propaganda zenu hazisaidii (PoliCCM+NEC+NEC+Musiba+UVCCM+TBC).
TZ ikipigwa vikwazo mtakaoumia ni nyie makapuku,mnaofikiri Kuna mtu atawaletea hela mfukoni.Hakuna atakaewekewa nembo ili vikwazo visiwe sehemu ya maisha yake. Yakitokea hayo watu kama nyinyi, mtavuka mito uchi😂.CCM mpya chini ya Bashiru na Chakubanga mbona imeacha kuongelea mambo ya madege na madaraja? Walidhani mwanzoni kuwa wananchi watakula madaraja? Sasa kama wanajua kusoma alama za nayakati wasome. Huu uchaguzi waki mess up wanakwenda kupigwa vikwazo siyo vya dunia hii.. Yaani sisi
Msaliti yule.Laana ya usaliti wa taifa lisu inamuandama.
Kitendo cha kusema kama hamchagui mbunge diwani wa CCM sileti maendeleo tayari ni ukiukaji wa Sheria za kampeni ilipaswa NECCCM Tumeccm wamuadhibu lakini NECCCM ni chombo binafsi cha CCM ni vigumu kuadhibiana wenyewe.Mbona hata Mgombea wa CCM anaongea vitu vya kusikitisha jukwaani ila wanamuacha au hujajiuliza hilo..?
Tatizo lenu Mnafikiri yanayofanywa na CCM Ndiyo Utaratibu, stupid...tunafahamu mgombea wa CCM hawezi kukutana na waandishi wa habari kwa Sababu He is such a thug and coward, hawezi kujieleza wala kujibu maswali ya waandishi Hasa media za njeHivi macho yako yanaona kama mimi? Yanaona yanayoendelea Chadema? Chama kinachoomba ridhaa ya kuongoza Tanzania kwenye uchaguzi huu. Viongozi wa Chama hicho ni kama wamemsusia kila kitu mgombea wao wa kiti cha Urais bwana Tundu Lissu na kumwacha afanye mwenyewe kila kitu.