Uchaguzi 2020 Je, CHADEMA wamemsusia kila kitu mgombea wao wa kiti cha Urais, Tundu Lissu?

Asiyejua maana haambiwi maana! Sasa wewe uishi huko newala na samaki nchanga zako halafu utarajie kuwa na akili ya kuyajua mambo makubwa kama hayo?! Kaa ulivyo nyau we!
Kauli hi siyo ya unyenyekevu hata kidogo...ni kauli ya dharau dhidi ya watu wa Newala na ambako wako pia wafuasi wa Chadema na Lissu...hivi kweli mnapotoa kauli huwa mnafikiria kuhusu repercussions zake??!!
 
Tutampa Kura nyingi 28 october
 
Hii ni propaganda za kishamba shamba tokea gheto kwa cyprian Musiba mnaposhinda mkivuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni na long story zisizo tija, Tambueni kuwa watanzania siyo wajinga wanajua CCM hampati usingizi lazima mkae saa 24 kutengeneza uzushi uongo wa kila aina ili mpate kujifariji kwani wapo wajinga jinga vilaza wachache watakaa na kuamini upumbavu wako lakini watanzania wengi wameamka hawataki kusikia propaganda za CCM kamwe
 
Hata sijasoma ila akili yako ina mtindio wa ubungo
Usijihangaishe kusoma kwani kaandika upumbavu mtupu wa kukariri toka kwa kubwa jinga Le mutuz na cyprian Musiba adui namba moja wa Tundu lisu
 
Lissu hawezii kuwa Rais wa nchi hii hata kidogo
Kama aliyeketa uzi Hapo juu ni wewe Kuna haja gani ya kuwahi siti ya Kwanza? Haya ndo matatizo ya kuelekezwa cha kupost JF. Acha kushikiwa akili, unajidhalilisha.
 
Acha saccos izidi kupoteana na watajamba cheche za moto uchaguzi huu
 
taarifa za uchochoroni

hizi taarifa ndio hua mnakaa kwenye vilabu vya mbege mnaongea kujifurahisha
 
taarifa za uchochoroni

hizi taarifa ndio hua mnakaa kwenye vilabu vya mbege mnaongea kujifurahisha
Tatizo la polepole na cyprian Musiba ni kakaa kuwaza kuwa watanzania ni wajinga kuliko wao, siku wakijua watanzania wana Akili timamu nyingi kuliko wao wataacha kutengeneza propaganda za kishamba shamba
 
Asiyejua maana haambiwi maana! Sasa wewe uishi huko newala na samaki nchanga zako halafu utarajie kuwa na akili ya kuyajua mambo makubwa kama hayo?! Kaa ulivyo nyau we!
Ha haaaaaa
 
Simba huwa hahitaji msaada kuwinda
 
Hivi unadhani majaliwa angekuwa na mpinzani angethubuta kuzurula..
 
CCM acheni ushamba wenu acheni kutengeneza propaganda za kishamba shamba hizo mkizani wananchi wamelala, mnazidi kujidhalilisha ingawa polepole anajua uzushi unamsaidia kulinda cheo chake ambacho kipo mashakani kutokana na mtukufu magufuli kuanza kumshitukia kuwa ni mpigaji mzuri ni mzee wa fursa ni mnufaika mkuu wa mfumo kandamizi mfumo wa udikiteta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…