Uchaguzi 2020 Je, CHADEMA wamemsusia kila kitu mgombea wao wa kiti cha Urais, Tundu Lissu?

Well said, Mkuu!
 
Ujinga wa kuwapa tena uongozi CCM baada ya miaka 60 ya maumivu unatoka wapi? Kama siwezi mpigia TL kura bora niiharibu. Ni TL Oktoba 28, 2020. Propaganda zenu hazisaidii (PoliCCM+NEC+NEC+Musiba+UVCCM+TBC).
 
Uharo mtupu
Tatizo la watetezi wa CCM mitandaoni bado wamekariri zile propaganda za mwaka 2015 hawajui kuwa mwaka 2020 watanzania wana machungu hasira za kutaabika mateso ya kubambikiwa kesi kesi unyanyasaji uonevu mwingi tokea CCM
 
Wengi ni viller hawana ushawishi
 
Kikawaida ukijifanya unajua sana kuliko wengine, mara nyingi tunakupisha ufanye mwenyewe.
 
Mwenye laana ni lissu kwa kusaliti Nchi yetu na kuhongwa mabilion na Mabeberu awatetee kuiba raslimali zetu
Laaana anaye JIWE na CCM kwa mauaji ya damu isiyonahatia! Kama MUNGU aishivyo
 
Post ya nane hii unatumia same comment ni mwendo wa kukopi na kupest.
 
Ujinga wa kuwapa tena uongozi CCM baada ya miaka 60 ya maumivu unatoka wapi? Kama siwezi mpigia TL kura bora niiharibu. Ni TL Oktoba 28, 2020. Propaganda zenu hazisaidii (PoliCCM+NEC+NEC+Musiba+UVCCM+TBC).
Hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu anaitaka CCM tena
 
TZ ikipigwa vikwazo mtakaoumia ni nyie makapuku,mnaofikiri Kuna mtu atawaletea hela mfukoni.Hakuna atakaewekewa nembo ili vikwazo visiwe sehemu ya maisha yake. Yakitokea hayo watu kama nyinyi, mtavuka mito uchi😂.
 
Mbona hata Mgombea wa CCM anaongea vitu vya kusikitisha jukwaani ila wanamuacha au hujajiuliza hilo..?
 
Nchi ina miaka 59 kuelekea 60 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, CCM badala ya kuleta maendeleo wamechukua pesa zote za viwanda zinatumika kudhoofisha kuihujumu chadema kuwabambikia kesi kuwapiga risasi uonevu unyanyasaji mwingi na unyama wa kila aina, hawataki kuleta maendeleo, hata maendeleo kidogo yaliyopo yamejaa ufisadi mwingi 10% kila kona CCM ni ile ile ukoo wa panya hakuna mwema wala malaika wote ni wapigaji, kama siyo CCM mda huu Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko mataifa mengi Duniani na pengine ingekuwa na kura ya veto lakini chini ya CCM ya uchakachuaji inazidi kudidimia zaidi .
 
Mbona hata Mgombea wa CCM anaongea vitu vya kusikitisha jukwaani ila wanamuacha au hujajiuliza hilo..?
Kitendo cha kusema kama hamchagui mbunge diwani wa CCM sileti maendeleo tayari ni ukiukaji wa Sheria za kampeni ilipaswa NECCCM Tumeccm wamuadhibu lakini NECCCM ni chombo binafsi cha CCM ni vigumu kuadhibiana wenyewe.
 
Tatizo lenu Mnafikiri yanayofanywa na CCM Ndiyo Utaratibu, stupid...tunafahamu mgombea wa CCM hawezi kukutana na waandishi wa habari kwa Sababu He is such a thug and coward, hawezi kujieleza wala kujibu maswali ya waandishi Hasa media za nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…