Uchaguzi 2020 Je, CHADEMA wamemsusia kila kitu mgombea wao wa kiti cha Urais, Tundu Lissu?

Vibaraka wa ccm siku zote akili zao mbovu.
 
Wewe si unatizama kwenye TV amabazo hazioneshi habari za wapinzani ila kidoogo ITV.
Sasa unatarajia kuonaje habari za kusaidiwa au kuto saidiwa na wenzake?
TBC inaongozana na Magufuli tuu masaa 24 .
 
Kulikoni Mgombea wenu kupiga magoti na kuomba kura???

Mlidhani huu mchezo mwepesi kumbe mmeingia cha kiume.
Kumbe kupiga magoti ni tatizo??

Lakini kwa Mila zetu,Kupiga magoti ni ishara ya heshima na Unyenyekevu pekee.
 
Wewe si unatizama kwenye TV amabazo hazioneshi habari za wapinzani ila kidoogo ITV.
Sasa unatarajia kuonaje habari za kusaidiwa au kuto saidiwa na wenzake?
TBC inaongozana na Magufuli tuu masaa 24 .
TBCCCM ni mali binafsi ya mtukufu magufuli
 
Kumbe kupiga magoti ni tatizo??

Lakini kwa Mila zetu,Kupiga magoti ni ishara ya heshima na Unyenyekevu pekee.
Haha Lissu is on your neck hadi mnapiga magoti kuomba huruma za wananchi mliowaburuza for 5 years.
 
Mapimbi wa Lumumba kuelewa sio rahisi , Hiyo ni strategy kwa sababu Lissu ana Kinga zote tofauti na viongozi wengine we Tulia msaidie mwenyekiti wako Jiwe kupiga magoti kuomba kura .
 
Sio kumsusia wamemuachia sababu anajimudu kulitawala jukwaa anajibeba mwenyewe abebwi na chama
 
Mkuu kiasi km unapoint baadhi ya maeneo lakini sentensi ya mwisho kabisa ndio umeharibu.
Yaani mtu wa Mtwara leo hii unayaongea haya. Mi nilidhani kutokana na mlivyochokua huko ungesema hata km ni tofali liwaongoze hamna shida maana nyie pamoja na kuongozwa na watu bado mumekua mkiani katika kila kitu. Kusini mumepauka mtafikir hamko Tanzania miaka nenda rudi.
Kama akili zenu ni hizi aaah basi mmelogwa na aliewaloga mkamtaftie Mozambique.
 
Lissu laana inamtafuna
Yeye na wewe nani anaishi maisha mazuri?Nani watoto wake wanapata mahitaji bora;makazi,malazi,chakula na starehe.
Kama hiyo ni laana basi laana nzuri hiyo.
Mwisho wewe maarifa yako madogo,hauwezi kaa same table na Lissu for discussion on important matters, kakuzidi akili huenda wewe ndio umelaaniwa. Mungu akusaidie.
 
Lissu laana inamtafuna
Ipi hiyo ambayo inakuacha salama ukibweka humu? Umeacha kuipigia ccm kampeni na kugeuka mpiga ramli? Jitahidi, huenda ukaanza kila kuku za kina polepole watakapokuijia kutaka kujua nyota zao zinasomaje!
 
Laana ya usaliti inamtafuna lissu, msaliti mwisho wake mbaya
"Gongo yenu" umefilisika kichwani, hakuna laana mbaya na ngumu kuishi nayo kama hiyo katika zama hizi...Asalaam Waleykum.
Chill down and gather your thoughts,you will be alright.
 
Reactions: Ole
Hajaweza kususiwa katika kipindi amiwa mgonjwa,mbali na hila zote zilizofanywa na waovu,juu ya haki take ya kuishi,na zile za kupata matibabu,na zile za stahukizake za kisheria,ndio Leo unaota watu wake,Watanzania wamsusie.Jaribu kuota Tena .ndoto yako imekuwa sii sahihi.
 
Vipi kijana wa Newala, korosho ulilipwa?
 
Majungu hayo!
 
Wewe unaposikia watu wanasema Lissu ni sawa sawa na wabunge 1000 wa ccm huwa unaelewa nini? Kama mtu aliyesuswa anawakimbiza hadi mnaomba msaada wa tume na police,je hao wengine wakiingia ulingoni si ndo mtaanza Kuzika wanaccm kwa presure?
 
Tatizo lenu Mnafikiri yanayofanywa na CCM Ndiyo Utaratibu, stupid...tunafahamu mgombea wa CCM hawezi kukutana na waandishi wa habari kwa Sababu He is such a thug and coward, hawezi kujieleza wala kujibu maswali ya waandishi Hasa media za nje
Hao ndio miungu wako, rais wa Tanzania anawajibika kwa wapiga kura wake sio wewe kinyago.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…