Uchaguzi 2020 Je, CHADEMA wamemsusia kila kitu mgombea wao wa kiti cha Urais, Tundu Lissu?

 
Wewe pimbi mbona hueleweki?
Tuliza kalio dawa ya mh. rais Lissu ikuingie
 
Mataga safari hii muwasho unawawasha chini ya papuchi,lazima mkunwe.
Mleta mada umesahau kuwa Mbowe alikuwa na Lissu juzi kati kwenye mkutano wa hadhara pale Mwanza.
Umesahau John Mrema ni mgombea ubunge yupo bize jimboni kwake.
Acha hizo dada.!
Kura ni kwa Lissu.))
 
Huyu nguli wa sheria duniani hata ningekuwa mimi ningemzilia kampeni. Jamaa ni mjuaji kuliko kiumbe yeyote nayemfahamu. Usikute anawapiga mikwara hadi viongozi wenzie na sheria zake wameamua kumuachia akapate aibu ya mwaka 28/10
 

Vipi huko aisee Mshamalizana kwenye korosho? Wasalimie wote
 
Jeshi la mtu mmoja lenyewe kipa, beki, kiungo na forward. Vs CCM, Polisi, NEC, Msajili na bado mnavyoteseka sasa..
 
Kwa hiyo fikra zako hawafanyi kitu? Basi na iwe faida kwa mnaomchukia Lissu. Kuna mengi makubwa ya kufanya licha ya hilo la kubatana na mgombea na mambo yakaenda sawa

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
yani mim ila nikitizama ilan yetu hailewek elewek.Hiv nashamgaaa sana tukipata nchi naona kama kutakua na ulafi sana.nabadil mawazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…