Pre GE2025 Je, chini ya utawala wa Rais Samia ndio imevunjwa rekodi ya kukamatwa wapinzani wengi wa kisiasa zaidi ya 500 kwa siku moja?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Usilolijuwa ni usiku wa kiza.

Ulikuwepo wakati wa Nyerere?
Labda nikuulize wewe kama ulikuwepo, leta records za Nyerere kama aliwahi kuwajaza mahabusu wapinzani wake hata 200 kwa siku moja kama alivyofanya Samia, this is unbeaten record. .
 
Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwalimu Nyerere hakuwahi kukamata wapinzani wake kisiasa kina Kambona kwa kiasi kikubwa kama hicho.

Si Mwinyi wala Mkapa wala Kikwete wala Magufuli combined waliwahi kukamata na kuwaweka mahabusu wapinzani wao wakiwemo viongozi wao wakuu kwa idadi kubwa kiasi hiki kwa wakati mmoja.

Mama ametisha amejiwekea rekodi pengine ya Afrika au hata ya dunia. Mwenye taarifa zaidi ya rekodi hii anaweza kuni prove wrong.

Pia soma=> Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa uwanja wa Ndege Songwe
Mama anabobea taratibu.
 
Mkapa aliwashughulikia Wapemba wakaenda uhamishoni Shimoni Mombasa Kenya

Kwenye Kitabu chake Ben ametubu Dhambi zake kwa baba Mtakatifu Papa Francisco anayeketi kitini pake Mtume Petro na kwa Mungu wa mbinguni

Ulale Unono 😃
Hawakufika 500. Acha urongo
 
Sometimes vyama vya upinzani mnakwamisha maendeleo ya nchi kwa upuuzi wenu,tunashindwa kujadili mambo ya msingi ya kuondoa jamii zetu katika umaskini eti mnataka tuwaongelee ninyi! Ili iweje?
Kwa hiyo mnakwamishwa na maneno ya wapinzani?....hovyo kweli nyie
 
Magu ndiye Rais pekee aliyezijua propaganda za hawa wahuni...ndio maana alitaka aue upinzani ili mambo yaende.

Mkuu Undetectable uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2019 na wa 2020, CCM ilichukua viti karibu 99%, kwa miaka hii 5, ccm inaongoza kila sehemu, vijiji, mitaa, kata, Halmashauri, Jimboni nk nk, wapinzani wengi wengi wako kando, swali langu kwako ndugu Undetectable kwa miaka hii mitano ccm imeleta maendeleo makubwa kuliko miaka yote?
Vipi hali ya ajira vijana mmewaajili kuliko miaka yote?
Vipi mfumuko wa bei ukoje?
Vipi upatikanaji wa huduma mbalimbali zikiwemo za afya, madawa matibabu yenye ubora?
Vipi wafanyakazi wa umma mishahara imeongezeka kwa kuliko tawala zote?
Maana wapinzani waliwachelewesheni kuleta maendeleo.
 
Tunalazimishwa kujadili drama za upinzani wakati kuna issues muhimu zenye tija.
Akikamatwa Mbowe na Sugu wewe unapata faida/hasara gani?
Kwa hiyo mnakwamishwa na maneno ya wapinzani?....hovyo kweli nyie
Mi
 
Tunalazimishwa kujadili drama za upinzani wakati kuna issues muhimu zenye tija.
Akikamatwa Mbowe na Sugu wewe unapata faida/hasara gani?

Mi
Mnalazimishwaje kujadili wapinzani?...na nyie mnapigwa virungu msipowajadili.?
 
Mkuu Undetectable uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na wa 2020, CCM ilichukua viti karibu 99%, kwa miaka hii 5, ccm inaongoza kila sehemu, vijijini, mitaa, kata, Halmashauri, Jimboni nk nk, wapinzani wengi wengi wako kando, swali langu kwako ndugu Undetectable kwa miaka hii mitano mmeta maendeleo makubwa kuliko miaka yote?
Vipi hali ya ajira vijana mmewaajili kuliko miaka yote?
Vipi mfumuko wa bei ukoje?
Vipi upatikanaji wa huduma mbalimbali zikiwemo za afya, madawa matibabu yenye ubora?
Vipi wafanyakazi wa umma mishahara kuongezeka?
Hao mnaowapigania kabla hawajakamatwa wameleta faida ipi katika nchi zaidi ya kuondoa focus kwa viongozi wenye mipango na maono ya kweli kwa Taifa?
 
Magu ndiye Rais pekee aliyezijua propaganda za hawa wahuni...ndio maana alitaka aue upinzani ili mambo yaende.
Sometimes vyama vya upinzani mnakwamisha maendeleo ya nchi kwa upuuzi wenu,tunashindwa kujadili mambo ya msingi ya kuondoa jamii zetu katika umaskini eti mnataka tuwaongelee ninyi! Ili iweje?
Miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika tunaongelea namna ya kuondoa jamij kwenye umaskini?! Kwamba wapinzani ndo wameebdelea kufanya hii nchi kuwa maskini kama tunavyoiona leo? Kweli? Hii Ni dhihaka kwa watanzania lakini.
 
Magu ndiye Rais pekee aliyezijua propaganda za hawa wahuni...ndio maana alitaka aue upinzani ili mambo yaende.
Sometimes vyama vya upinzani mnakwamisha maendeleo ya nchi kwa upuuzi wenu,tunashindwa kujadili mambo ya msingi ya kuondoa jamii zetu katika umaskini eti mnataka tuwaongelee ninyi! Ili iweje?
Among the hovyo people living in Tanzania
 
Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwalimu Nyerere hakuwahi kukamata wapinzani wake kisiasa kina Kambona kwa kiasi kikubwa kama hicho.

Si Mwinyi wala Mkapa wala Kikwete wala Magufuli combined waliwahi kukamata na kuwaweka mahabusu wapinzani wao wakiwemo viongozi wao wakuu kwa idadi kubwa kiasi hiki kwa wakati mmoja.

Mama ametisha amejiwekea rekodi pengine ya Afrika au hata ya dunia. Mwenye taarifa zaidi ya rekodi hii anaweza kuni prove wrong.

Pia soma=> Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa uwanja wa Ndege Songwe
Mama kwa hili la Chadema ameupiga mwingi hadi unamwagika, na IGP wake mtarajiwa bwana Awadh ameupiga mwingi kwani yeye mwenyewe amewapa kipondo cha mbwa mwizi viongozi waandamizi wa Chaadema Mnyika na Sugu hadi wako mahututi
 
Back
Top Bottom