Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda nikuulize wewe kama ulikuwepo, leta records za Nyerere kama aliwahi kuwajaza mahabusu wapinzani wake hata 200 kwa siku moja kama alivyofanya Samia, this is unbeaten record. .Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
Ulikuwepo wakati wa Nyerere?
Mama anabobea taratibu.Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwalimu Nyerere hakuwahi kukamata wapinzani wake kisiasa kina Kambona kwa kiasi kikubwa kama hicho.
Si Mwinyi wala Mkapa wala Kikwete wala Magufuli combined waliwahi kukamata na kuwaweka mahabusu wapinzani wao wakiwemo viongozi wao wakuu kwa idadi kubwa kiasi hiki kwa wakati mmoja.
Mama ametisha amejiwekea rekodi pengine ya Afrika au hata ya dunia. Mwenye taarifa zaidi ya rekodi hii anaweza kuni prove wrong.
Pia soma=> Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa uwanja wa Ndege Songwe
Hawakufika 500. Acha urongoMkapa aliwashughulikia Wapemba wakaenda uhamishoni Shimoni Mombasa Kenya
Kwenye Kitabu chake Ben ametubu Dhambi zake kwa baba Mtakatifu Papa Francisco anayeketi kitini pake Mtume Petro na kwa Mungu wa mbinguni
Ulale Unono 😃
500 ndani ya lisaa?Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
Ulikuwepo wakati wa Nyerere?
Kwa hiyo mnakwamishwa na maneno ya wapinzani?....hovyo kweli nyieSometimes vyama vya upinzani mnakwamisha maendeleo ya nchi kwa upuuzi wenu,tunashindwa kujadili mambo ya msingi ya kuondoa jamii zetu katika umaskini eti mnataka tuwaongelee ninyi! Ili iweje?
Mkuu Undetectable uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2019 na wa 2020, CCM ilichukua viti karibu 99%, kwa miaka hii 5, ccm inaongoza kila sehemu, vijiji, mitaa, kata, Halmashauri, Jimboni nk nk, wapinzani wengi wengi wako kando, swali langu kwako ndugu Undetectable kwa miaka hii mitano ccm imeleta maendeleo makubwa kuliko miaka yote?Magu ndiye Rais pekee aliyezijua propaganda za hawa wahuni...ndio maana alitaka aue upinzani ili mambo yaende.
Sometimes vyama vya upinzani mnakwamisha maendeleo ya nchi kwa upuuzi wenu,tunashindwa kujadili mambo ya msingi ya kuondoa jamii zetu katika umaskini eti mnataka tuwaongelee ninyi! Ili iweje?
MiKwa hiyo mnakwamishwa na maneno ya wapinzani?....hovyo kweli nyie
Mnalazimishwaje kujadili wapinzani?...na nyie mnapigwa virungu msipowajadili.?Tunalazimishwa kujadili drama za upinzani wakati kuna issues muhimu zenye tija.
Akikamatwa Mbowe na Sugu wewe unapata faida/hasara gani?
Mi
Hao mnaowapigania kabla hawajakamatwa wameleta faida ipi katika nchi zaidi ya kuondoa focus kwa viongozi wenye mipango na maono ya kweli kwa Taifa?Mkuu Undetectable uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na wa 2020, CCM ilichukua viti karibu 99%, kwa miaka hii 5, ccm inaongoza kila sehemu, vijijini, mitaa, kata, Halmashauri, Jimboni nk nk, wapinzani wengi wengi wako kando, swali langu kwako ndugu Undetectable kwa miaka hii mitano mmeta maendeleo makubwa kuliko miaka yote?
Vipi hali ya ajira vijana mmewaajili kuliko miaka yote?
Vipi mfumuko wa bei ukoje?
Vipi upatikanaji wa huduma mbalimbali zikiwemo za afya, madawa matibabu yenye ubora?
Vipi wafanyakazi wa umma mishahara kuongezeka?
Miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika tunaongelea namna ya kuondoa jamij kwenye umaskini?! Kwamba wapinzani ndo wameebdelea kufanya hii nchi kuwa maskini kama tunavyoiona leo? Kweli? Hii Ni dhihaka kwa watanzania lakini.Magu ndiye Rais pekee aliyezijua propaganda za hawa wahuni...ndio maana alitaka aue upinzani ili mambo yaende.
Sometimes vyama vya upinzani mnakwamisha maendeleo ya nchi kwa upuuzi wenu,tunashindwa kujadili mambo ya msingi ya kuondoa jamii zetu katika umaskini eti mnataka tuwaongelee ninyi! Ili iweje?
Kwa hiyo mnakwamishwa na maneno ya wapinzani?....hovyo kweli nyi
Yupo wapi Sasa huyo JPM?Sio maneno,ni drama za kijinga na uzandiki wa kipuuzi. JPM alikuwa sahihi na aliwakomesha kweli kweli
Among the hovyo people living in TanzaniaMagu ndiye Rais pekee aliyezijua propaganda za hawa wahuni...ndio maana alitaka aue upinzani ili mambo yaende.
Sometimes vyama vya upinzani mnakwamisha maendeleo ya nchi kwa upuuzi wenu,tunashindwa kujadili mambo ya msingi ya kuondoa jamii zetu katika umaskini eti mnataka tuwaongelee ninyi! Ili iweje?
Nimekuuliza mmalazimishwa na naniTunalazimishwa kujadili drama za upinzani wakati kuna issues muhimu zenye tija.
Akikamatwa Mbowe na Sugu wewe unapata faida/hasara gani?
Mi
Mama kwa hili la Chadema ameupiga mwingi hadi unamwagika, na IGP wake mtarajiwa bwana Awadh ameupiga mwingi kwani yeye mwenyewe amewapa kipondo cha mbwa mwizi viongozi waandamizi wa Chaadema Mnyika na Sugu hadi wako mahututiRais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwalimu Nyerere hakuwahi kukamata wapinzani wake kisiasa kina Kambona kwa kiasi kikubwa kama hicho.
Si Mwinyi wala Mkapa wala Kikwete wala Magufuli combined waliwahi kukamata na kuwaweka mahabusu wapinzani wao wakiwemo viongozi wao wakuu kwa idadi kubwa kiasi hiki kwa wakati mmoja.
Mama ametisha amejiwekea rekodi pengine ya Afrika au hata ya dunia. Mwenye taarifa zaidi ya rekodi hii anaweza kuni prove wrong.
Pia soma=> Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa uwanja wa Ndege Songwe
Sasa huku jukwaa la siasa umefuata nini?Endelea kujidanganya,agenda zenu zimekwisha julikana. After all mimi sio muumini wa siasa lakini napenda maendeleo.