Je, dakika yake ya mwisho duniani alisemaje? Ilikuwaje?

Pole sana mzee, jikaze.
Hata mimi nilikuwa hivyohivyo, uzuri wa wewe ulionana nae kabla hajaaga dunia, tofauti na mimi ambaye niliplan nikimaliza kusoma nimnunulie mizawadi nikamsapraizi lakini hata uchaguzi mkuu 2020 umebaki siku 8 ndio ikawa hivyo tena.
Nililia kama mtoto, hata watu walinishangaa mno siku nawasili pale nyumbani maana hawakuniona muda sana.
 

Taarifa: Bakteria wenyewe hawasex lkn wanaongezeka.
 
Umewahi kufa?
 
Pole Sana Kaka captain Mungu ni mwema Sana nakuombea kwa Mungu akufariji Sana pole mkuu
 
Pole sana kwa misiba! Mwenyezi Mungu awapumzishe!
 
Pole sana Mkuu, Mwenyezi MUNGU akutie nguvu ktk kipindi hiki kigumu.
 
Mpaka leo najiuliza ni malaika watoa roho au ni ndugu zake waliotangulia walikuja kumkaribisha kwenye makazi mapya. Ajabu walivyoondoka wakamuacha alikuwa kama anasikitika kwanini wameondoka bila yeye..inanifikirishaga sana
Dah!!!,Aisee mambo yaliyopo ktk Ulimwengu wa roho ni siri kubwa, Hekima ya MUNGU ni kuu mno hata akatuficha wanadamu tusijue Nini kinaendelea huko baada ya kifo.
 
Hakuna Goriathi humu nimpasue na jiwe la kichwa? Leo nasimama na chimbaumbau Daudi
 
Kweli kabisa.
 

Mkuu

1. Pole sana! Na tatizo la pole halina namna ya kulimaanisha kwamba hii ni pole kubwa au ndogo! Zaidi zaidi uchungu halisi unaujua wewe! Sisi wengine si rahisi ku feel pain unayopitia! But kiukweli inauma na kusikitisha sana mkuu! Narudia pole sana, imeniuma


2. Mpaka unaandika hapa, nimeamini wew ni mwanaume halisi kabisa! Na ni kama shetani alikupitia mwanaume ambae ni strong sana, Hilo nakupongeza sana! But kila upatapo huzuni fanya mambo mawili tu!

- lia sana, lia toa machozi usiyazuie! Hii wengi wanaume wanakosea kwa kudhani mwanaume halisi halii, nope mkuu lia sana kisaikolojia Ina maana kubwa

- sali , ongea na mungu wako umjuae! Ongea nae mwambie how you feel, that’s your real dawg! Who can feel you bro!
 
Pole sana Mkuu
 
Pole sana mkuu, dah inasikitisha sana
 
Pamoja na ugumu tunaopitia tunapoondokewa na wapendwa wetu lakini pia tutambue kifo ni ibada na njia ambayo kila mtu ataipitia ni suala la muda tu..

tupendane, tumche Mungu kwa wale wenye kuamini, tutende mema..Dunia sio makazi yetu tunapita tu hapa..
 
Neno la busara sana
 
Dah, pole ndugu Mungu akutie nguvu, huu wakati upite.
 
Mama yenu bado yupo?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kabla hata ya kumaliza nikatokwa na machozi kwa habari yako hii.

Pole sana
 
Mkuu pole sana sana. MUNGU akuoe tumaini katika maisha yako. Dunia ina mengi. Afadhali kubwa kwako ni kwamba MUNGU alikupa nafasi ya kuwa nao katika siku zao za mwisho.
 
pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…