Je, dakika yake ya mwisho duniani alisemaje? Ilikuwaje?


Pole sana, samahani mlifanikiwa kupata watoto !?
 
Huhuhuhuuu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]pole sana kakaa
 
Pole mkuu
 
Unadhani kila mmoja ni mnyonge? Jifunze kutumia umoja mfano shujaa wangu badala ya wingi kama shujaa wetu.
Id yako na muandiko unasadifu kuwa wewe ni mnyonge. Na kama una hela basi ni za majini kama za Ginimbi
 
Daaah Mungu mwenyewe akutie nguvu na kukufariji. Pole sana Capt..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heri ya hao kuliko nyie mliopokea wamisionari lakini mmeshindwa kuelimika
Mkuu tukija kwenye mambo ya kitaaluma au mambo muhimu ya ulimwengu huu, unaweza kweli kuwalinganisha Wakristu na Waislamu(Wazee wa Elimu ahera) ?
 
Mkuu tukija kwenye mambo ya kitaaluma au mambo muhimu ya ulimwengu huu, unaweza kweli kuwalinganisha Wakristu na Waislamu(Wazee wa Elimu ahera) ?
Sitaki ubishi na dini za watu.

Tubishanie mengine
 
Huyu alikuwa mzembe, kwanini hakuwaandika watoto wake urithi wa hizo japo nyumba tu. Ingesaidia sana kila mmoja kujitetea.

Sina utajiri wowote lakini kwa nature ya familia yangu, kila kitu kiko kwenye daftari maalum. Wife na watoto wanajua kiwanja fulani ni cha nani.

Kitu anbacho sijakimilikisha ni nyumba ninayoishi. Lakini tumekubaliana na wife kuwa mmoja wetu akitangulia, mwingine anapoelekea kumaliza maisha ataamua apewe nani. Target ni last born kama hatakuwa amefikia umri wa kujitegemea
 
Kwhiyo afsa mshua wangu alikuwa mzembe au sio?
Ila baba yetu alitufundisha kupambana wenyewe pasipo kutegemea Cha mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…