Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi tulipitia kipindi ambacho ukiulizwa unaitwa nani ukasema , kijekitile au naitwa isike au naitwa katitu basi hii kwetu ilikuwa kosa ilibidi uitwe juma, au ima hii nikimaanisha majina ya kigeniNyie mlikua mazombi msio weza kufikiri wala kuhoji na ni wakengeufu mlio kana imani za asili za wazee wetu,hatuwaamini wala kuwasikiliza we follow our own path now relax.
wewe shida yako ni nikitabu tu?kwa mujibu wa kitabu kipi ulichosoma ??
Sisi tulipitia kipindi ambacho ukiulizwa unaitwa nani ukasema , kijekitile au naitwa isike au naitwa katitu basi hii kwetu ilikuwa kosa ilibidi uitwe juma, au ima hii nikimaanisha majina ya kigeni
wewe shida yako ni nikitabu tu?
Hujajibu swali langu shetani kaumbwa na Nani???Ungesoma kile nilichokiandika awali ungefuatilia comments zangu.
From Venus Star: God is anything which is beyond of your intelligent abilities. Mungu ni kitu chochote kilicho juu ya uwezo wako wa akili
Mtoto wangu mchanga ananiona mimi ni Mungu
Mungu ni concept iliyotokana na curiosity ya watu kutaka kujibu philosophical issues kuhusu existence.
It vary according to culture
Sasa mzee unaniuliza swali hilo, mambo ya kitu kuumbwa na mimi wapi na wapi? Nadhani utakuwa umekosea. Mtafute mtu sahihi wa kukujibi swali hili. Mimi sihusiki na mambo ya uumbaji.Hujajibu swali langu shetani kaumbwa na Nani???
Kwa maelezo yako habari za mungu ni hadithi za watu tu?Ungesoma kile nilichokiandika awali ungefuatilia comments zangu.
From Venus Star: God is anything which is beyond of your intelligent abilities. Mungu ni kitu chochote kilicho juu ya uwezo wako wa akili
Mtoto wangu mchanga ananiona mimi ni Mungu
Mungu ni concept iliyotokana na curiosity ya watu kutaka kujibu philosophical issues kuhusu existence.
It vary according to culture
Mungu wala si wa jamii, Mungu ni personal. Ukitaka ku share na wengine Mungu wako well and good.Kwa maelezo yako habari za mungu ni hadithi za watu tu?
Kwamba kila jamii inautaratibu wake dhidi ya mungu iliyojiwekea kwa hiyo sio kweli kwamba mungu niwa wote?
Tafsiri yako "existence of god imetokana na curiosity ya watu" inamtanguliza mtu, then mungu ndiyo anafuata.Mungu wala si wa jamii, Mungu ni personal. Ukitaka ku share na wengine Mungu wako well and good.
Wakristo na waislam wanamuabudu Mungu wa Ibrahim
Hakuna sehemu nimesema mtu amemuumba Mungu. Soma vizuri nilichokiandika.Tafsiri yako "existence of god imetokana na curiosity ya watu" inamtanguliza mtu, then mungu ndiyo anafuata.
Inakinzana na mungu wa waislam na wakristo, ambaye kwa mujibu wao, yeye ndiye aliyeumba mtu.
Kwa kiswahili rahisi.
Kwa tafsiri yako, mtu alimuumba mungu. Wakati mungu wa Ibrahim alimuumba mtu.
Huoni hiyo contradiction mkuu?
Hey, bro 😀Kitabu cha infropreneur.
Hakuna sehemu nimesema mtu amemuumba Mungu. Soma vizuri nilichokiandika.
Kuna maswali magumu binadamu anajiuliza anakosa amajibu.
So kutokana na kukosa majibu na anaona vitu vilivyopangika anakuwa na majibu ya kiimani, kuwa yupo anayetuzidi sisi anefanya ha
Bado unarudi palepale. Watu wamemuunda mungu through their curiosity.Hakuna sehemu nimesema mtu amemuumba Mungu. Soma vizuri nilichokiandika.
Kuna maswali magumu binadamu anajiuliza anakosa amajibu.
So kutokana na kukosa majibu na anaona vitu vilivyopangika anakuwa na majibu ya kiimani, kuwa yupo anayetuzidi sisi anefanya haya.
Sasa mzee unataka mimi nielewe au wewe uelewe? Maana ndiye mimi niliyeleta mada uwepo wa Mungu kutokana na curiosityBado unarudi palepale. Watu wamemuunda mungu through their curiosity.
Inamaana watu wasingekuwepo curiosity zao zisingekuwepo.
Mungu asingekuwepo pia.
Kipi kigumu kuelewa hapo?
Nasubiri wataalam wa hili jambo waje kukidadavua
Ningependa kujua, je, inawezekana kuwa Rais wa nchi wakati wewe si Raia wa nchi hiyo?
Pia ningependa kufahamu, Mungu ni wa dini gani? Je, ni Muislamu au Mkristo?
Kwa nini Masheikh na Wachungaji husema kwamba dini haiwezi kukufikisha Mbinguni?
Kama Dini haziwezi kutupeleka Mbinguni, basi kwa nini zipo? Kama Mungu yuko upande wa Wakristo, kwa nini hawapendelei?
Na kama Mungu ni wa Waislamu, kwa nini nao hawapendelei? Je, inamaanisha nini kusema kwamba Mungu ni wa kila mtu?
Kwa nini alitufanya tofauti kwa rangi? Na kwa nini alitufanya tofauti hata kwa jinsi tunavyoishi duniani au kwa kipato?
Kwanini aliumba shida na matatizo?
Na kusema kwamba alituumba kwa mfano wake, ningependa kujua, kama sisi ni mfano wa Mungu, je, hii inamaanisha kwamba Mungu anakula chakula, anaenda chooni, na pia anakabiliana na matatizo kama sisi?
Kama jibu ni hapana, kwa nini sisi, ambao ni mfano wa Mungu, tunateseka hivi wakati yeye ana uwezo mkubwa wa kutusaidia?
Sio hicho tu nimesoma vingi sana... nimesoma kitabu cha mwakiswa, jinsi yakuwa tajiri, nikasoma kitabu cha mwakasege 'jinsi ya kuomba' nikasoma kitabu cha wazungu kinaitwa biblia ,jinsi ya kwenda mbinguni, nikasoma kitabu cha waarabu jinsi mohamed alivyoishi na maswahaba wake, sikuishia hapo nilisoma vitabu vvya physics,chemistry,mathematics, biology, nk: hapa saivi nasoma kitabu eriki shigongo, kifo ni haki yangu.Ndicho kitabu ulichosoma hicho ??