Sasa unaniulza mimi tena. Unatakiwa sasa wewe ujibu swali hilo.
Mimi nilishakujibu tangu mwanzoni, Tatizo lako huzingatii.
Nilikwambia na ninakwambia tena,
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kina chanzo chake, Hata chanzo cha kila kitu, Lazima kiwe na chanzo chake.
Pasiwepo kitu chochote kile kilicho exist chenyewe pasipo chanzo, Maana kitazua maswali ya kiliwezaje ku exist chenyewe tu, pasipo chanzo.
Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina chanzo, Hata hii universe iliyopo haina chanzo na haihitaji chanzo.
Universe ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.
Tueleze Universe ilikuwaje kabla ya kuwa created.
Universe haikuwa created.
Universe ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.
Kama kila kitu lazima kiwe created, Hata creator wa kila kitu lazima awe created.
Creator huyo hawezi ku exist tu, from no where.
Na kama si lazima kila kitu kina creator, Hata Universe haina na haihitaji creator.
Ukikubali kuwa Universe is not everything tutajadili kisomi
Mpaka sasa umeshindwa kuonyesha andiko linalosema na lililo kufunza kwamba, Universe is not everything.
Unafosi fosi tu kwamba, Universe is not everything.