Je, dini inaweza kukupeleka kwa Mungu?

Je, dini inaweza kukupeleka kwa Mungu?

Nilikwambia tangu mwanzo aina ya Mungu ninayempinga.

Ila huelewi.
I don't care about which God unampiga. I always care about the concept. Na hata ukimpinga haitabadili chochote. Maana imani ya mtu ni kitu personal. Na hili nalo huelewi.

Wewe mwenyewe umesema God is Imagination sasa utapinga imagination ya mtu?

Huoni namna ulivyo stupid
 
Kuna aina ngapi za Mungu?
Wengi sana kulingana na imani za watu.

Kuna Yesu, Mungu wa wakristo.

Kuna Allah, Mungu wa waislamu.

Kuna Krishna, Mungu wa wahindu.

Kuna Wahegur, Mungu wa wasikhism.

Kuna Zeus, Mungu wa wagiriki

Kuna Jah, Mungu wa Rastafarians.

Na Mungu wengine wengi tu.
 
Sipingi imagination.

Napinga mtu kudai kwamba hiyo imagination yake ya God ipo kwenye uhalisia .
 
Wengi sana kulingana na imani za watu.

Kuna Yesu, Mungu wa wakristo.

Kuna Allah, Mungu wa waislamu.

Kuna Krishna, Mungu wa wahindu.

Kuna Wahegur, Mungu wa wasikhism.

Kuna Zeus, Mungu wa wagiriki

Kuna Jah, Mungu wa Rastafarians.

Na Mungu wengine wengi tu.
Sasa hayo ni majina tuambie Concept ya kila Mungu hapo.
Kwa ufupi utakuja kuona ni Curiosity ya watu kutaka majibu ya vitu vinavyowazunguka.
Vitu vikubwa sana wanavyohoji watu ni death. Wanapoona mtu anakufa wanahoji kuna jambo lolote baada ya kufa.

Science haiwezi ikajibu swali hilo. Ndio dini sasa zinakuja. Hao uliowataja concept zao ni zile zile tu. Majina tofauti.
 
Sipingi imagination.

Napinga mtu kudai kwamba hiyo imagination yake ya God ipo kwenye uhalisia .
Kama ulivyosema Imagination is Illusion vile vile reality is Illusion.
Utahangaika sana ukianza kupinga imagination because ubango wenyewe hautambui kuwa hiki ni real or is imagination.

Ndio maana unaweza kuota ndoto na kuamka umepata jasho. Kwakuwa unapoota kuwa unakimbia ubongo una release hormone za jasho nk.

Reality is illusion
 
Sasa hayo ni majina tuambie Concept ya kila Mungu hapo.
Kwa ufupi utakuja kuona ni Curiosity ya watu kutaka majibu ya vitu vinavyowazunguka.
Vitu vikubwa sana wanavyohoji watu ni death. Wanapoona mtu anakufa wanahoji kuna jambo lolote baada ya kufa.

Science haiwezi ikajibu swali hilo. Ndio dini sasa zinakuja. Hao uliowataja concept zao ni zile zile tu. Majina tofauti.
Hata dini hazina majibu ya, what happens after death.
 
Mzee umesema dini ni imagination. Majibu yapo huko huko kwenye imagination. Watu wanafanya imagination na wanakutana na Mungu muumba. Wewe umeshawahi?
 
Kama ulivyosema Imagination is Illusion vile vile reality is Illusion.
Utahangaika sana ukianza kupinga imagination because ubango wenyewe hautambui kuwa hiki ni real or is imagination.

Ndio maana unaweza kuota ndoto na kuamka umepata jasho. Kwakuwa unapoota kuwa unakimbia ubongo una release hormone za jasho nk.

Reality is illusion
Kwa hiyo wewe Venus star uwepo wako hapa duniani sio reality, ni illusion?

Kwamba wewe mwenyewe sio reality ni illusion?
 
Mzee umesema dini ni imagination. Majibu yapo huko huko kwenye imagination. Watu wanafanya imagination na wanakutana na Mungu muumba. Wewe umeshawahi?
Kwa hiyo majibu yao yapo kwenye imaginations sio in reality?
 
Ukinieleza maana ya Reality ndio ninaweza kukujibu swali lako hili.
Reality ni uhalisia.

Kitu kipo kinaonekana, kinashikika, kinasikika, kinahisika na kupimika.

Hii ndio reality.

Imaginations haipo kwa namna yoyote ile ya kuonekana, kushikika, kusikika, kuhisika na kupimika.
 
So CHADEMA au CCM are real?
 
That is the power of faith. Because Imagination and Reality are both illusion.
Reality sio illusion.

Reality ni uhalisia wa kuonekana, kushikika, kusikika, kuhisika na kupimika.

Hata wewe Venus star ni reality una onekana na una exist physically.

Huwezi kusema wewe ni illusion, ilhali upo in reality.
 
Reality sio illusion.

Reality ni uhalisia wa kuonekana, kushikika, kusikika, kuhisika na kupimika.

Hata wewe Venus star ni reality unao onekana na una exist physically.

Huwezi kusema wewe ni illusion, ilhali upo in reality.
Ngoja sasa nikusaidie jambo moja kisayansi

Nikupe mfano mmoja wa Human Being

-> Mtu ameundwa na kitu kinachoitwa Body
-> Body is the combination of different systems
-> System is the combination of Organs
-> Organ made of Tissues
-> Tissue made of Cells
-> Cell made of sub cell particles
-> Sub Cell Particles made of DNA, RNA etc
-> DNA, RNA etc Made of Chemical Compounds
-> Chemical Compounds made of Atoms
-> Atoms Made of Electrons, Protons and Neucles
-> Sab Atom made of Particles ( Quarks, Photons etc)
-> Photons and other particles made of waves
-> Wave made of Vibration of void
-> Void is Emptiness

Kwa maelezo hayo niambie wewe hapo ulipo ni real?
 
Ndio ni real.

Hizo Organ zote na system zote mwilini mwangu zipo na ninazo in reality.

Hata hizo DNA zinapimika in reality na mimi naweza kujua nina DNA kwa kujipima.

Mimi ni real ndio.
 
Back
Top Bottom