Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Acha kuzunguka zunguka mzee. Huu sasa itakuwa ni upumbavu. Ulete screenshot wewe mwenyewe halafu uaze kutaka mimi nikueleze.Nataka andiko linalosema na lililo kufunza kwamba👇
Universe is not everything.
Wewe si ulisema universe is not everything?
Sasa thibitisha hii hoja yako na ulete andiko uliposoma hivyo.
1. Universe has the beginning so is not everything
2. Universe has the end so is not everything.
Sasa unataka tukuelezeje sasa. Wakati ni wewe mwenyewe umeleta hiyo screenshot.