Je, dini inaweza kukupeleka kwa Mungu?

Je, dini inaweza kukupeleka kwa Mungu?

Umetambua universe kutoka wapi? How does universe became to exist?
Universe ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.

Universe haikutoka popote pale.

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimetoka sehemu fulani, Hata hiyo sehemu fulani lazima iwe imetoka sehemu fulani.

Na kama si lazima kwamba kila kilichopo kimetoka sehemu fulani, Hata Universe haihitaji iwe imetoka sehemu.

Concept of God is beyond the existence of Universe.
This is according to you.

I don't acknowledge the existence of that God.

That God is just your fictional character/concept in your mind.
 
Universe ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.

Universe haikutoka popote pale.

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimetoka sehemu fulani, Hata hiyo sehemu fulani lazima iwe imetoka sehemu fulani.

Na kama si lazima kwamba kila kilichopo kimetoka sehemu fulani, Hata Universe haihitaji iwe imetoka sehemu.

Universe haikutoka popote pale.

Universe ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.

This is according to you.

I don't acknowledge the existence of that God.

That God is just your fictional character in your mind
Can you prove that universe haikutoka kokote?
 
Ndio

Kila mtu ameikuta na kila kitu kimeikuta universe na kuzaliwa na kuwepo ndani ya universe.

Hakuna kitu kilicho exist nje ya Universe na kinacho exist nje ya Universe.

Hakuna anayejua na anayeweza kuthibitisha universe ilianzaje.

Tunachoweza kusema ni kwamba,

Universe ilikuwepo, Ndio maana tumeikuta ipo na itaendelea kuwepo.
 
Huyo Mungu anatafutwa kwani amepotea?

Huyo Mungu anatafuta wanadamu kwani hawajui na kawasahau?

Muislamu akikwambia Muhammad ndiye njia ya kweli na uzima, no other way, Utakubali tu kwa vile umeambiwa hivyo?

Huyo Mungu Alishindwaje kuumba binadamu watakao mpenda?

Huyo Yesu anataka apendwe kwani yeye amekuwa demu?
You are in denial of the truth, and only that truth will keep you free.
 
Ningependa kujua, je, inawezekana kuwa Rais wa nchi wakati wewe si Raia wa nchi hiyo?

Pia ningependa kufahamu, Mungu ni wa dini gani? Je, ni Muislamu au Mkristo?

Kwa nini Masheikh na Wachungaji husema kwamba dini haiwezi kukufikisha Mbinguni?

Kama Dini haziwezi kutupeleka Mbinguni, basi kwa nini zipo? Kama Mungu yuko upande wa Wakristo, kwa nini hawapendelei?

Na kama Mungu ni wa Waislamu, kwa nini nao hawapendelei? Je, inamaanisha nini kusema kwamba Mungu ni wa kila mtu?

Kwa nini alitufanya tofauti kwa rangi? Na kwa nini alitufanya tofauti hata kwa jinsi tunavyoishi duniani au kwa kipato?

Kwanini aliumba shida na matatizo?

Na kusema kwamba alituumba kwa mfano wake, ningependa kujua, kama sisi ni mfano wa Mungu, je, hii inamaanisha kwamba Mungu anakula chakula, anaenda chooni, na pia anakabiliana na matatizo kama sisi?

Kama jibu ni hapana, kwa nini sisi, ambao ni mfano wa Mungu, tunateseka hivi wakati yeye ana uwezo mkubwa wa kutusaidia?apeli mtupu

Ningependa kujua, je, inawezekana kuwa Rais wa nchi wakati wewe si Raia wa nchi hiyo?

Pia ningependa kufahamu, Mungu ni wa dini gani? Je, ni Muislamu au Mkristo?

Kwa nini Masheikh na Wachungaji husema kwamba dini haiwezi kukufikisha Mbinguni?

Kama Dini haziwezi kutupeleka Mbinguni, basi kwa nini zipo? Kama Mungu yuko upande wa Wakristo, kwa nini hawapendelei?

Na kama Mungu ni wa Waislamu, kwa nini nao hawapendelei? Je, inamaanisha nini kusema kwamba Mungu ni wa kila mtu?

Kwa nini alitufanya tofauti kwa rangi? Na kwa nini alitufanya tofauti hata kwa jinsi tunavyoishi duniani au kwa kipato?

Kwanini aliumba shida na matatizo?

Na kusema kwamba alituumba kwa mfano wake, ningependa kujua, kama sisi ni mfano wa Mungu, je, hii inamaanisha kwamba Mungu anakula chakula, anaenda chooni, na pia anakabiliana na matatizo kama sisi?

Kama jibu ni hapana, kwa nini sisi, ambao ni mfano wa Mungu, tunateseka hivi wakati yeye ana uwezo mkubwa wa kutusaidia?
Ni utapeli mtupu
 
Ndio

Kila mtu ameikuta na kila kitu kimeikuta universe na kuzaliwa na kuwepo ndani ya universe.

Hakuna kitu kilicho exist nje ya Universe na kinacho exist nje ya Universe.

Hakuna anayejua na anayeweza kuthibitisha universe ilianzaje.

Tunachoweza kusema ni kwamba,

Universe ilikuwepo, Ndio maana tumeikuta ipo na itaendelea kuwepo.
Sasa hayo maelezo ndiyo proof ya Universe kutokuwa na mwanzo? Hicho ulichoandika nayo ni Imani tu. Just something which is in your mind.

Universe umeshawahi kuiona? Umeshawahi kuishika? Au kwasababu uliambiwa kuna universe, contains galaxies na wewe ukaamini?

Hakuna unachojua bado unazunguka hapo hapo kwenye imani

Huna tofauti na watu wanaoabudu jua. Kwasababu jua wamelikuta basi ni Mungu wao.
 
Halafu kitu kinachowatofautisha wanyama na Watu ni Imani. Hapo ulipo upo na imani yako na unaionesha hapa kuwa wewe Imani yako ni kutokuamini Mungu. But you do not have any proof kwamba God does not exists.
Kama usivyo na Uthibitisho wa uwepo wa huyo god
 
Sasa hayo maelezo ndiyo proof ya Universe kutokuwa na mwanzo? Hicho ulichoandika nayo ni Imani tu. Just something which is in your mind.

Universe umeshawahi kuiona? Umeshawahi kuishika? Au kwasababu uliambiwa kuna universe, contains galaxies na wewe ukaamini?

Hakuna unachojua bado unazunguka hapo hapo kwenye imani

Huna tofauti na watu wanaoabudu jua. Kwasababu jua wamelikuta basi ni Mungu wao.
Una elewa maana ya Universe?
 
Kama usivyo na Uthibitisho wa uwepo wa huyo god
Sasa ndio kitu gani sasa tunajadili hapa? Maana tunazunguka pale pale tu.

As I told you Philosophical issues does not need physical proof.

Mnatakiwa muondoe utando wenu kichwani. Inaonekana uelewa wenu ni wa chini sana mnajilazimisha kujadili mambo ambayo yapo juu ya uwezo wenu.
 
Haya tueleze universe ni nini?
The universe is everything. It includes all of space, all the matter and energy that space contains. It also includes time.

Kila kitu kipo ndani ya Universe, Kila kitu kina exist kwenye universe.
 
Ningependa kujua, je, inawezekana kuwa Rais wa nchi wakati wewe si Raia wa nchi hiyo?

Pia ningependa kufahamu, Mungu ni wa dini gani? Je, ni Muislamu au Mkristo?

Kwa nini Masheikh na Wachungaji husema kwamba dini haiwezi kukufikisha Mbinguni?

Kama Dini haziwezi kutupeleka Mbinguni, basi kwa nini zipo? Kama Mungu yuko upande wa Wakristo, kwa nini hawapendelei?

Na kama Mungu ni wa Waislamu, kwa nini nao hawapendelei? Je, inamaanisha nini kusema kwamba Mungu ni wa kila mtu?

Kwa nini alitufanya tofauti kwa rangi? Na kwa nini alitufanya tofauti hata kwa jinsi tunavyoishi duniani au kwa kipato?

Kwanini aliumba shida na matatizo?

Na kusema kwamba alituumba kwa mfano wake, ningependa kujua, kama sisi ni mfano wa Mungu, je, hii inamaanisha kwamba Mungu anakula chakula, anaenda chooni, na pia anakabiliana na matatizo kama sisi?

Kama jibu ni hapana, kwa nini sisi, ambao ni mfano wa Mungu, tunateseka hivi wakati yeye ana uwezo mkubwa wa kutusaidia?
Unaweza kuwa hata na malkia wacha Rais. Umemsahau malkia wako Elizabeth?

Alikuwa ni Mtanzania huyo?

"Mungu" ndiyo nani?
 
Mara ya kwanza nilikwambia kwamba universe haikutokea popote pale.

Tatizo la vichwa maji na mapoyoyo kama wewe mnadhani kila mtu ana amini kwenye hizo stori za Big bang theory na hao kina Aristotle.

Na kwamba hao kina Aristotle ndio wako sahihi sana kuelezea chanzo cha universe.

Nilicho kwambia na Ninacho kwambia sasa ni,

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na muumbaji wake, Hata huyo Muumbaji wa kila kitu lazima awe na Muumbaji wake.

Na kama si lazima kila kitu kilichopo kina muumbaji wake, Hata Dunia na Universe kwa ujumla, Haina muumbaji wake.

Universe ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.

Kama hapa huelewi tena, sihitaji mabishano yasiyo na tija.
Ndio nimekueleza hizo ni primitive ideas. Hata mababu zetu walikuwa nazo.
Nimekupatia jambo uende ukasome. Nenda kasome kuhusu Metaphysics, ndani ya metaphysics utakutana na somo la Cosmology.

Cosmology ndiyo inayoongelea issue za universe, siyo ideas zako hizi zilizotumiwa na mababu zetu. Walikuwa wanaenda kuabudu kwe mibuyu mikubwa eti tu kwasababu mibuyu hiyo wameikuta.

Idea ya Universe imetokana na theory of Big bang. Kabla ya theory hii hakukuwa na issue ya universe.

Kwahiyo idea yako ya universe kutokutokea popote haina proof yoyote ya kisayansi.

Sayansi kupitia cosmology inaeleza kuwa universe has the beginning.

Imani zako hizi za kijima nenda kawasimulie kijijini.
 
Sayansi hiyo imeshindwa kuthibitisha chanzo cha Big-bang ni nini?

Sayansi hiyo imeshindwa kuthibitisha nini kilisababisha Big-bang kutokea?

Sayansi hiyo imeshindwa kuthibitisha hiyo Big-bang ilikuwa wapi na huko ilikokuwa, kulitoka wapi?

Sayansi imekurupuka tu ghafla bin vuuh kusema kwamba Chanzo cha universe ni Big-bang bila uthibitisho wowote ule.

Narudia tena kukwambia...👇

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kina chanzo, Hata chanzo cha kila kitu lazima kiwe na chanzo.

Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina chanzo, Hata Universe haihitaji na Haina chanzo.
 
Sasa wewe hutaki imani hutaki na Sayansi. Unaamini wewe unayoyawaza yapo sahihi.

Sasa hiyo universe uliijulia wapi kama hukuambiwa kuna universe?

Ninavyojua wewe huna vifaa vya kuchunguza universe. Uwezo wa macho yako upo limitedi.

Kama sayansi hutaki na Imani nayo huitaki Sitaki kukuita jina baya.

Nenda shule kijana ukasome ujifunze. Usiubanie ubongo wako kujifunza.

Imani na Sayansi zipo hapa kutusaidia kujua how the world operates.
 
Ningependa kujua, je, inawezekana kuwa Rais wa nchi wakati wewe si Raia wa nchi hiyo?

Pia ningependa kufahamu, Mungu ni wa dini gani? Je, ni Muislamu au Mkristo?

Kwa nini Masheikh na Wachungaji husema kwamba dini haiwezi kukufikisha Mbinguni?

Kama Dini haziwezi kutupeleka Mbinguni, basi kwa nini zipo? Kama Mungu yuko upande wa Wakristo, kwa nini hawapendelei?

Na kama Mungu ni wa Waislamu, kwa nini nao hawapendelei? Je, inamaanisha nini kusema kwamba Mungu ni wa kila mtu?

Kwa nini alitufanya tofauti kwa rangi? Na kwa nini alitufanya tofauti hata kwa jinsi tunavyoishi duniani au kwa kipato?

Kwanini aliumba shida na matatizo?

Na kusema kwamba alituumba kwa mfano wake, ningependa kujua, kama sisi ni mfano wa Mungu, je, hii inamaanisha kwamba Mungu anakula chakula, anaenda chooni, na pia anakabiliana na matatizo kama sisi?

Kama jibu ni hapana, kwa nini sisi, ambao ni mfano wa Mungu, tunateseka hivi wakati yeye ana uwezo mkubwa wa kutusaidia?
Hivi kwa nini shetani mnakosa kumpa sifa
 
Sayansi hiyo imeshindwa kuthibitisha chanzo cha Big-bang ni nini?

Sayansi hiyo imeshindwa kuthibitisha nini kilisababisha Big-bang kutokea?

Sayansi hiyo imeshindwa kuthibitisha hiyo Big-bang ilikuwa wapi na huko ilikokuwa, kulitoka wapi?

Sayansi imekurupuka tu ghafla bin vuuh kusema kwamba Chanzo cha universe ni Big-bang bila uthibitisho wowote ule.

Narudia tena kukwambia...👇

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kina chanzo, Hata chanzo cha kila kitu lazima kiwe na chanzo.

Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina chanzo, Hata Universe haihitaji na Haina chanzo.
Also hakuna mtu amesema hapa kila kitu kinachanzo.

Wapi nimesema hivyo? But nilikuwa nakujibu kuhusu *universe" kwa mujibu wa Cosmology it has the beginning.

Kama unakumbuka pia nilikueleza kuhusu Energy nikakueleza energy is the God of Science.

Bado unatapatapa tu. Huna hoja ya msingi. Unaingilia huku unatokea kule.
 
Ningependa kujua, je, inawezekana kuwa Rais wa nchi wakati wewe si Raia wa nchi hiyo?

Pia ningependa kufahamu, Mungu ni wa dini gani? Je, ni Muislamu au Mkristo?

Kwa nini Masheikh na Wachungaji husema kwamba dini haiwezi kukufikisha Mbinguni?

Kama Dini haziwezi kutupeleka Mbinguni, basi kwa nini zipo? Kama Mungu yuko upande wa Wakristo, kwa nini hawapendelei?

Na kama Mungu ni wa Waislamu, kwa nini nao hawapendelei? Je, inamaanisha nini kusema kwamba Mungu ni wa kila mtu?

Kwa nini alitufanya tofauti kwa rangi? Na kwa nini alitufanya tofauti hata kwa jinsi tunavyoishi duniani au kwa kipato?

Kwanini aliumba shida na matatizo?

Na kusema kwamba alituumba kwa mfano wake, ningependa kujua, kama sisi ni mfano wa Mungu, je, hii inamaanisha kwamba Mungu anakula chakula, anaenda chooni, na pia anakabiliana na matatizo kama sisi?

Kama jibu ni hapana, kwa nini sisi, ambao ni mfano wa Mungu, tunateseka hivi wakati yeye ana uwezo mkubwa wa kutusaidia?
Jidanganye tuneti dini itakupeleka kw Mungu
 
Back
Top Bottom